Elimu kwa umma juu ya matumizi salama ya mtandao

Sep 13, 2016
49
23
Wataalamu wa Usalama Mtandao wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Innocent Mungy walipokuwa kwenye mahojiano maalum ya kipindi cha Redio ya BAHARI FM kwa ajili ya kuelimisha umma juu ya matumizi salama ya mtandao, leo Oktoba 23, 2023, Zanzibar.

#NiRahisiKuwaSalamaMtandaoni #UsalaMtandao #CyberSecurityAwarenessMonth2023

IMG_20231024_105455_312.jpg
IMG_20231024_105455_319.jpg
IMG-20231024-WA0020.jpg
IMG-20231024-WA0022.jpg
IMG-20231024-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom