Recent content by mchakamchaka2

  1. M

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Kuwepo na msikit au kanisa haimaanish ni alama ya kuhamasisha udini..nimesoma Udsm..kuna msikit mkubwa tu MSAUD pia na kanisa lipo...uwepo wa Maeneo ya kuabudu kunastawisha amani na kutuliza mihemko na akili.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Nahitaji mobile Gold processing plant

    Mkuu ungenisadia contacts
  3. M

    Nahitaji mobile Gold processing plant

    Habari wakuu...nimeona nitupie hii issue yangu humu jukwaani kwani naamini JF kuna kusanyiko la wajuvi wa mambo mengi hivyo naamini nitapata suluhisho. Nimekuwa kwenye hii biashara ya kuprocess marudio ya mchanga wa dhahabu mda kidogo sasa..katika biashara hii nimekumbana na changamoto kadhaa...
  4. M

    Asilimia kubwa ya wanawake wa mijini wanajiuza ila wanabagua dau na mazingira ya kujiuzia

    Hii account lazima itakuwa imehackiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

    ..ukhuty Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Kwa wale ambao mmeshawai-cheat, ni sababu gani ilikupelekea kufanya hivyo?

    Nina mashaka account yako itakuwa imekuwa hacked.
  7. M

    Ushauri wangu kwa single mama

    Wanawake bhana....
  8. M

    Nani zaidi aliyemtoa bikra au aliyempa mimba?

    We jamaa una maswali ya kichochezi sana.....!nway akijibu nistue
  9. M

    Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda

    Moja kati ya ungese niliowahi kukataa ni kupigwa exile...!nishamgegeda demu wa mshakaj kwa ungese wake wa kumletaleta room demu wake
  10. M

    Wanaume, hivi vitu vinatukera sana sisi wakinadada

    Aliyeuliza naona hujasoma jina lake..!
  11. M

    Hivi michepuko wote mko hivi?

    Ukisoma Majibu ya mada kama hizi unaweza jua jf members wote humu ni malaika.
  12. M

    Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

    Moja ya post za maana kabisa kuwahi kusoma jf...da faiza Allah akuzidishie na ilmu uliyonayo uitumie kwa njia hii..hakika nimejifunza mengi sana kupitia majibu yako ya maswali mbalimbali uliyoulizwa.
  13. M

    Unakumbuka nini ukiwa 1st year kwa wiki ya kuripoti chuoni?

    Nakumbuka nmefka first year udsm mwaka 2006..wiki ya orientation ile ule mchakamchaka sitausahau...kuna mshkaji wangu mmoja alikuwa anashinda pale tbs pembeni ya library kuu anaangalia mademu kutwa nzima..
  14. M

    Hivi kumbe mwanamke anaweza akampenda mwanaume

    Pole sana dada nisamehe mimi kwa kukurupuka.
Back
Top Bottom