Recent content by mchaga wa zanzibar

  1. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Liverpool win, Monaco win, Roma win, Tottenham win
  2. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uzi kimy kwa hisani ya mdrid
  3. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

    Hospital ya rufaa kujengwa wilayani mbona kazi sana
  4. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Hivi nini msingi wa tozo ya parking mjini?

    We lipa tu kwani huoni mambo yanakua poa
  5. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Corona: Wakenya wachanganyikiwa kutokana na idadi kubwa ya maambukizi nchini kwao, wahamishia hasira zao kwa kuichafua na kudanganya kuhusu Tanzania

    Jamani hata bongo watu wanakufa ni vile hatuweki ukweli hewani. Mfano mji nilio ndani ya siku 3 tumezika watu 6 waliokufa na ugonjwa huo.
  6. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Bollen Ngetti: Dk. Bashiru, Membe si size yako, kaa kimya

    Ushauri ulionda darasani huu,Dr bashiru pokea kitu hicho acha kuwa kama naninilii wa bungeni yule,radio aaah spika
  7. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Lema jiendeleze kielimu tafadhali ili uwe na upeo mpana zaidi

    Hivi Lema na wale wabunge wenu wa chama cha mbogamboga nani wenye elimu mbovu?yani ccm na wabune wake kama wakina kibajaji,msukuma,kingu milinga na hao wanaojiita wasomi kama wakina juma Nkamia si washenzi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Waambie wakikamilisha hiyo mikataba ndiyo waje kutuambia ndege inaelekea wapi siyo kutupa maneno ya kampeni mpka leo
  9. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Toka walituambia itaanza September leo hii tunaelekea December hata congo tu haijaenda
  10. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Hawezi kupendwa na wote bhana kwani yeye pesa
  11. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Wabunge wa CCM wana mahudhurio mazuri sana bungeni kuliko Wapinzani kwa sababu tunatofautiana majukumu kisiasa katika ujenzi wa Taifa

    Mkumbuke pia lema huyo huyo anaongoza kwa kuchangia mijadala ya kuwagusa wananchi kuliko hao wanaoshinda humo ndani na kusifia vitu vya hovyo.sasa milinga au silinde hata wakishinda humo wanachangia nini zaidi ya mipasho.
  12. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mlivuka vipi haya maumivu makali ya kuachwa?

    Pole sana kijana ,hiyo hali tumepitia wengi,but itafika wakati utasahau kabisa,Mungu katuumbia kusahau kijana,pia jaribu kujichanganya usikae muda mwingi mwenyewe na onge na ndugu au marafiki wa karibu juu ya hilo utapata ahueni.Niliwahi achwa nami na binti kama style yako,but now nasonga bila...
  13. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa wastani wiki ya ngapi ni ya kujifungua

    Mpaka siku ya kujifungua una mgegeda tu bila wasi
  14. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo ICU !dah

    Kaka mapenzi hasa hisia hazilazimishwi yani hapo unaweza pata matatizo zaidi ,kama mwanamke mwenyewe kakuonyesha hivyo vyote ,chukua hatua achana naye we sepa na wanao
  15. mchaga wa zanzibar

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanisaliti baada ya kwenda masomoni

    Tafuta wako huko,mbona unataka kulazimisha mapenzi wewe?ulitaka kumtambulisha akagoma sasa bado inafikiri huyo alikua na time nawe?Acha ujinga wewe mtoto wa kiume
Back
Top Bottom