Recent content by mcha Mungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

    Dr Slaa hawezi kushiriki dhambi ya kuiuza nchi kwa lowassa na kishudia watz wakitaabika zaidi kwa unyama atakaotenda mtu asiye na huruma na tz
  2. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Poleeee sana ndugu haya makanisa ya wachungaji kazi ni shida wanawajaribu akili watu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    Ee Mungu linusuru Taifa letu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazee: Dr. Magufuli ni chaguo la Mungu

    Ni chaguo la mungu wa ccm na sio Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mgoni alipishwa laki 3 kufumaniwa

    Dhambi mbaya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Polisi wazembe
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Lowassa hafai fisadi kama sio fisadi atutajie fisadi tumjue
Back
Top Bottom