Mgoni alipishwa laki 3 kufumaniwa

Mgoni alipishwa laki 3 kufumaniwa

Laki tatu!!!!!!njaa mbaya sana.

Na hapo mke ndio ajue kiasi gani anathamani ndogo kwa mumewe.
 
Na mkataba/makubaliano ya malipo shahidi mjumbe wa nyumba 10. Hatari sana.
 
watu siku hizi wamefanya mtaji kuweni makini kutongoza wake za watu.
 
kwel fumanizi halina mwenyewe..huku mtaani kwetu wangemshikisha ukuta..aisee 300k only kama adhabu haiwezekanii mke anauma jamanii
 
Kwa mrembo ka huyo ni haki nzi kufia kwenye kopo la sukari....ila laki3 ni ndogo sana kwa fumanizi ,amejidhalilisha huyo mwenye mke
 
Huyo mwanaume nae bure kabisa. Mke wa mtu apelekwi nyumba za kulala wageni ambazo muhudumu anaohongwa kwa fanta tu anaonesha chumba. Mke wa mtu anapelekwa hotelini tena ya nyota nyingi tu, ambazo taarifa za mtu hazitolewi hata siku moja, mwenye mke hatothubutu vamia au ingia hapo kwa sababu hiyo sehemu itakuwa siyo hadhi yake.

Ushawahi sikia fumanizi zimetokea kwenye mahoteli ya hadhi ya juu?
 
Kalipa faini ndogo sana.. Kuna mwenzie sh milioni 7 za Kitanzania zilimtoka kisa mke wa mtu.. Na hii michongo mingi hua inapangwa.
 
Picha ni ya jamaa mwingine, na barua iliandikwa na kibabu kingine kilichofumaniwa pia. GPL wanaweza ku-confirm hizi habari mbili tofauti. Hizo issues za 2014…
 
Kinacho niachaga hoi kwenye hii mifumanio picha nyingi wanawake huwa hawaonyeshwi sura,.au mwenye makosa huwa ni mwanaume tu
 
Hii ilikuwa guest flani mitaa ya kimara mwisho, dar es salaam
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom