Recent content by Mcgustine

  1. M

    JamiiForums Tanzania PSPTB v/s CIPS

    Mkuu tupe taratibu za kusoma CIPS,na wapi review classes zinapatikana,pia mimi nina CPSP,nitaanza level gani CIPS
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Francis Michael, Dr. Tulia Ackson: Mmeonesha picha gani? Mmechafuka

    Tusichafue watu kwa ajili ya Siasa zetu za kutaka kuonekana,Bodi hii ilichaguliwa June 2015,barua za uteuzi ziliandikwa Novemba 5,wajumbe wakakabidhiwa Novemba 8,walikuwa hawajawahi kukutana mpaka waziri mkuu alipotembelea bandarini na kuibua hoja kuhusu Makontena,ndipo Wajumbe wakalazimisha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Waziri Mkuu mtihani mkubwa kwa Rais na chama chake

    Tumekusikia Makamba sasa kapumzike.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Catch me if you can boy

    Nitafute in box nina zawadi yako matata
  5. M

    JamiiForums Tanzania Idada kamili ya wakazi wa Jiji la Mwanza ni ipi?

    Muulizeni mzee Tegete,full capacity ya uwanja wa Kirumba ni watu 20,000 tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Coalition Government hazijawahi kuwa na utawala makini; hasa Muungano wa Vyama vya Wapinzani

    Acha uongo wa mchana,Hii serikali ya Kenya iliyopeleka nchi yao kwenye uchumi wa kati ni serikali ya namna gani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni lazima tukubali matokeo: Tutake tusitake, utawala wa sheria lazima uheshimiwe

    Let her join in facebook
  8. M

    JamiiForums Tanzania NDUMBARO VS MALINZI: Sababu za ugomvi wao zabainika

    Hiyo ripoti ya wakaguzi ya mdomoni kwa nini wasiichapishe gazetini au wailete jamii forum, hivi unajua taratibu za ukaguzi ndugu yangu, wakaguzi wakikukagua kama kuna mapungufu wanakuambia kisha wanakupa muda wa kuwasilisha documents ili kuthibitisha kuhusu matumizi yako.hivi TBL wangekuta...
  9. M

    JamiiForums Tanzania NDUMBARO VS MALINZI: Sababu za ugomvi wao zabainika

    Kuacha uwakala jambo jingine, na kudai pesa akijifanya ni wakala huo ni wizi, kuhusu ubadhirifu kika kitu kinajieleza chenyewe amediriki hata kusema TFF imenunua magari hewa, wakati yapo.Kuhusu ubadhilifu anaoudai ni mkataba wa TBL, hivi kuwe na ubadhilifu na TBL na mkataba uendelee tu?acheni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania NDUMBARO VS MALINZI: Sababu za ugomvi wao zabainika

    Ndugu yangu huyu mtu ni hatari sana, nashukuru Ikizu umetutoa Tongotongo, huyu Ndumbaru alijilipa dola 10,000 kwenda kozi ya wiki moja tu Nairobi.amepewa nafasi ya kutia saini akaunti ya bodi kinyemela, kwani idhini ilipaswa kutoka ndani ya kamati ya utendaji ya TFF kwa mujibu wa utaratibu ndo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania NDUMBARO VS MALINZI: Sababu za ugomvi wao zabainika

    Akamtoe kwanza Kaniki ndo aje apambane
  12. M

    JamiiForums Tanzania NDUMBARO VS MALINZI: Sababu za ugomvi wao zabainika

    Huyu Ndumbaro kwa taratibu za mpira anatakiwa awe amefungiwa maisha, TFF inamlea tu Blatter watu kama hawa tungekuwa tumewasahau, kaleta migogoro Simba sasa anaona viongozi aliowaingiza kwa nguvu karibu washushe timu daraja sasa amegeukia mpira uharibike nchi nzima.tumuogope kama ukoma
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Ndumbaro adai TFF haina mamlaka ya kumfungia

    Tena mwanasheria Ndumbaro leo kwenye gazeti la mwanaspoti kamtukana Wakili maarufu Jerome Msemwa kwa kumuita kamati yake ni kichaka, jaman hivi hata mfumo wa kimahakama ukishindwa mahakama ya chini unaitukana, huyu hana maadili kabisa, jinsi anavyoongelea watu binafsi kwa masuala ya kitaasisi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Ndumbaro adai TFF haina mamlaka ya kumfungia

    Hayo ni magazeti tu Aveva aandike barua asaini aone kamati ya nidhamu itavyomshughulikia, atulie na mambo yake ya Simba ambapo ni mwenyekiti jina, wanaoongoza wala hawakugombea.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Malinzi Ondoa aibu hii Kagera ukiwa mwenyekiti wa KRFA ulishindwa na Sasa umekuwa Rais!

    Uwanja wa Kaitaba ni miongoni mwa viwanja vinavyowekewa nyasi bandia, hivyo bwana Mathias Byabato utulie kiwanja kikimalizika KRFA itapata ofisi za kisasa
Back
Top Bottom