Recent content by McCOY

  1. McCOY

    JamiiForums Tanzania Kiwanja

    wakuu nahitaji kiwanja maeneo yoyote ili mradi iwe kinyerezi....budget yangu ni Tshs 4 Million. ni-PM tafadhali tuwasiliane zaidi
  2. McCOY

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari mkuu. Nasumbuliwa na kanyama kameota chini ya kitovu (warts). Nimetumia dawa mbalimbali za kupata na ku burn kama podophlyn bila mafanikio. Msaada wako tafadhali.
  3. McCOY

    JamiiForums Tanzania Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

    Every time you go away - Paul Young
  4. McCOY

    JamiiForums Tanzania Movie gani ambayo ina mchango mkubwa katika maisha yako?

    All iz Well
  5. McCOY

    JamiiForums Tanzania External Hd

    Malcolm nazingua mkuu. Kama una mzigo njoo tufanye business
  6. McCOY

    JamiiForums Tanzania External Hd

    Weekend hii mpunga nitaumaliza soon
  7. McCOY

    JamiiForums Tanzania External Hd

    Nahitaji external hard disk yenye latest movies na series. Budget 150K. Ni pm
  8. McCOY

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini hampendi kutoka out na wake zenu?

    unapoenda porini kuwinda hutakiwi kwenda na huyo mnyama wa kuwinda......utampata hukohuko!!
  9. McCOY

    JamiiForums Tanzania Hivi watu Dar mnapata wapi pesa namna hii, Kila mtu gari?!

    Kwa Dar kuna 4 basic needs. Food, shelter, clothes and Car...
  10. McCOY

    JamiiForums Tanzania Hivi tundu kwenye donati ni la nini?

    Kuna jamaa yangu ni mlafi balaa.... donati anakulaga hadi hicho kitundu!!
  11. McCOY

    JamiiForums Tanzania Wafahamu mastaa wa kike Bongo Movie wenye mvuto zaidi

    Beauty is in the eyes of the 'beer-holder'. Sizioni neema za Allah humo shehe!!
  12. McCOY

    JamiiForums Tanzania Hizi fashion ni shida...

    Madness in the name of fashion.....!!
  13. McCOY

    JamiiForums Tanzania Nyie kina mama nyie

    Mimi wa kwangu kanuna tangu jana....kisa nimemwambia kwamba lowassa asafishiki hata kwa jiki na msasa!!!
  14. McCOY

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA mnatutenga Ileje?

    Nimekaa Ileje hapo Itumba miaka kadhaa.... ni kweli CDM mnahitaji kufanya mikutano sana tena sana....sijawahi ona/sikia kiongozi wa kitaifa akiwasili Itumba au Isongole au popote pale kufanya mkutano na wananchi. watu wanaipenda sana CDM ileje hasa ikumbilo na isongole lakini elimu na ushawishi...
  15. McCOY

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    na wewe unavyo ombaomba papuchi!! kama huna hela tulia...waachie wenye nazo wakugongee
Back
Top Bottom