Nyie kina mama nyie

Nyie kina mama nyie

Utakua hunitendei haki kweli nashinda Gym toka saa 11 mpaka saa 2 usiku.....Siku nikipata fursa napanda masaa matatu nje ndani mwanzo mwisho...Hapana asee labda sekta ingine

Na wewe acha kujipa sifa za kijinga huyo ni mkeo sio malaya wa kununua, unaweza kukaa kifuani kwake dakika 15 na ukamridhisha hata kwa goli moja
 
Aseeee kumbe mpaka kina mama, nlijua girlfriends wetu tu wapo ivyo
 
Labda kagundua mikate inakupunguzia kitu,ndo mana anataka ule vyakula vya asili kama mababu zet
 
Na wewe acha kujipa sifa za kijinga huyo ni mkeo sio malaya wa kununua, unaweza kukaa kifuani kwake dakika 15 na ukamridhisha hata kwa goli moja

Umeona eeehhh eti masaa matatu kifuani unamkomesha ama alikusumbua kumpata sasa unamuonyesha wewe ni kidume ama?? Maana mkeo hata dk moja yatosha sana lakini ya maana sana. Changu ndio unamkalia masaa yote hayo kha!!!
 
Mimi wa kwangu kanuna tangu jana....kisa nimemwambia kwamba lowassa asafishiki hata kwa jiki na msasa!!!
 
Mtu hawezi kataa kukumbatiwa na baridi hii asilan labda humkumbatii vizur unamshika kama unakaba kibaka wa manzese hujapiga mswaki kwaoa kama kiwanda cha ngozi hyo harufu asikurushe mkono kwanini
 
manuu

Manuu, hapo hakuna kitu kingine ni kumdekeza tu, ila sasa .....
 
Last edited by a moderator:
manuu

aaa pole sana,huyo hajapitia kitchenparty,ya ukweli,basi jibembeleze tu,yaishe
 
Last edited by a moderator:
Unamkaushia tu unaendelea na mambo yako,huoneshi kinyongo chochote kwake wala hali ya kukureka.Kama unawatoto ww deal na watoto tu cheza nao ukipata nafasi.Atajirudi tu yeye mwenyewe,hasikupe presha
 
Back
Top Bottom