Wanaume kwanini hampendi kutoka out na wake zenu?

Wanaume kwanini hampendi kutoka out na wake zenu?

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
Yani asilimia nyingi ya wanaume hawapendi kutoka out na wake zao.

Sijui kwanini yani utakuta mara nyingi wako wenyewe au na chips funga aka mipango ya kando aka nkurunzinza.

A S angry::A S angry::
 
Tatizo wengi wa waliooa wameoa wife materio sio out materio ndio maana wanatoka out na michepuko materio

ombi wakati unaoa ukumbuke kuna kutoka out na mkeo hivyo vigezo vizingatiwe
badilika kijana sio kila wife materio awe na sura kama unajiandaa kupiga chafya hata mkivaa suruali wote unaonekana unaongozana na mwanaume mwenzio
mfano mkavaa sketi sasa mwanaume utatongozwa
aibu utaona wewe
 
I don't know about others but image ya mke akiwa na mumewe in public matters alot.

Sio tu muonekano wa nje. Manake unaweza kuonekana classic but upo upo tu.Boring.

You don't understand anything the boys are going on about.

Siasa haupo, mpira haupo, haujui kinachoendelea duniani wewe ni insta na Bongo movie.
 
sasa unaoa mwanamke sura kama Pinda utoke nae out ili iweje?
 
one of these
1) financial issues
2)social issues mf. wanaume wengine huwa wanahofu ya kuibiwa so huwa wanaficha lulu za ndani
3) arranged marriages
4)culture and traditions
5)lack of confidence
 
sio napenda out.....hii fact....nauliza
 
i doubt this utakuata hela anayo mkewe mzuri tu...na ye bingwa wa kutoa offa kwa wanawake wengine lakin sio mke wake.....
 
sasa unaoa mwanamke sura kama Pinda utoke nae out ili iweje?
we kende kende jamani kende hahahahahhah sasa unaona mke wa hivyo siumempenda mwenyewe huyo ni chaguo lako ni chaguo lako................so lazima uwe nae proud...
 
Tunaogopa kujichoresha. Unatoka naye out unakutana na mchepuko wake uko na washikaji wenzie wewe unaonekana kama NDOROBO tu. Wanakuchenka in front of your wife.. NOOOMA
 
i doubt this utakuata hela anayo mkewe mzuri tu...na ye bingwa wa kutoa offa kwa wanawake wengine lakin sio mke wake.....

Labda kuna sababu nyingine pia ya mke mume utakuta apendezwi nayo akitoka na wife yake
 
I don't know about others but image ya mke akiwa na mumewe in public matters alot.

Sio tu muonekano wa nje. Manake unaweza kuonekana classic but upo upo tu.Boring.

You don't understand anything the boys are going on about.

Siasa haupo, mpira haupo, haujui kinachoendelea duniani wewe ni insta na Bongo movie.

Hold your fire Karusii. Makosa ni ya pande zote, sana sana kwetu wachaguaji. As you already know, we on that wife material bs.

Myself, won't put a ring on a mama we ain't got a lot in common with. She gotta be a homie 'fore everything & everybody else. Meaning, i'd rather be around her than anywhere else. If she ain't into politics, scratch politics. If she's into bongo movies, she gotta scratch that. If she ain't into sports, we'll work on that.

Fo'real tho, all i need in this crazy world, is me and the Missus.
 
Wanume wengine hufanya hivi kutokana na kutotaka kuwakera wake zao ambao wengi ni anti-social.Wengi wa wanawake tunaongea sana bila kufikiria yaani unakuta mwanamke ametoka out na mumewe anaongea mpaka anamuaibisha mume bila kujijua.Out nyingi ni za usiku na mishe za mjini nani atahudumia watoto.Wanawake wengi wabishi mume anaogopa kubishiwa hata kitu kidogo mbele za watu.Hatujui nguo gani ya kutokea tunavaa vituko akiambiwa na mume ananuna,hatujui kutenga mda wa furaha na huzuni.Kero hizo ndo zinasababisha waume watoke kivyao vyao.Kama unataka kutoka na mumeo oga vaa vizuri ukifika mlikofika usiongee sana,sikiliza wakichekesha cheka kwa staha usinywe pombe hata kama unakunywa kunywa kidogo na maji mengi.Mheshimu mumeo mbele za watu hata kama amekukwaza home.Sura haihusiki hapa ukiwa mzuri wa moyo na heshima kila mtu atatamani kufuatana na wewe coz anafeel proud kuwa na wewe.
 
unapoenda porini kuwinda hutakiwi kwenda na huyo mnyama wa kuwinda......utampata hukohuko!!
 
Tatizo ukitoka Na mkeo ujiandae Na maswali km upon police na kipindi kingine mnarudi mshakwazana,manager usisalimiwe Na mdada ushaulizwa huyu nan kakufahamu vp tabu tupu
 
Tatizo wake wengi ukianzisha kamfumo kanazoeleka na kanakua katabia. wewe mwanaume yoyote alijizoesha kurudi nyumbani sasa 12 jioni asiporudi muda huo nyumbani lazima apige simu au ugomvi. Mwanaume ukizoea kurudi nyumbani saa 7 usiku ukirudi saa nne mke anafanya sherehe. Mara nyingi wanauliza siku hizi utoki na mimi lazima kuna mtu unatoka nae. sasa tunaogopa mazoea ambayo yanakua tabia.



yani asilimia nyingi ya wanaume hawapendi kutoka out na wake zao sijui kwa nini yaan utakuta mara nyingi wako wenyewe au na chips funga aka mipango ya kando aka...nkurunzinza.....:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::crying::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::teeth::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Back
Top Bottom