Recent content by mbwanajoseph

  1. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

    Ach roho ngumu wew unataka kunambia unapoona kuna .msaada hauwezi kwendi sio kama wewe umepata basi wenzako ndo watakuwa nacho
  2. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Mimi naomba nitoe maoni kuhusu hawa wafanyakazi wa dawasa...Hivi mfano wale wanao soma meter number!! ili wangalie kma bill ya maji imelipwa au haijalipwa lakini pale unapomkosa mwenyewe... muhusika wa eneo hilo unachukuaje hatua ya kumkatia maji hamuoni kama mnaenda kinyume na taratibu Sent...
  3. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania CDF Mabeyo ameviagiza vikosi vya JWTZ kujitosholeza kwa chakula, asema nchi ikiwa na njaa amani inatoweka

    Kuna kauli moja wanasemaga anayetoa ndo anayepewa... so subiri usikie radion au kwenye TV ndo uje ukatume maombi Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  4. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Ili swala la upande kwa wenzetu wa visiwani(zanzibar)... kiukweli hawana mila na desturi ya kuongozwana mwanamke ndomana hawautaki muungano wenyewe na hawataki kusikia habari za muungano Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  5. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Dar: Mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali inanyesha

    jamaaani njooo nikukumbatie
  6. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

    Duuuh!! mbona kisiwa nmetokea kukielewa hivi sijui nikakope bank nitembee zangu Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  7. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

    ndo kna hao??? Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  8. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ndo mambo ya wadada Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  9. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    kwahali ilivyokuwa ngumu hivi mbona wataliwa wengi[emoji125][emoji125] Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  10. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    sijawah kuona ungeanza na makadirio ila hakuna asilimia ulizotaja wew!! ukisema asilimia it means!! [emoji3578][emoji3578][emoji817] Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  11. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    Asilimia 338???[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Mbna hzo asilimia sijazielewa Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  12. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Kutakuwa na tatizo katika usahihishaji wa mtihani wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislam Kidato cha Nne

    ile shule ya mbeya haijatoa A kwenye somo la dini ya kiislamu mbna top 4 wote wametoka kwao au wote ni Christian Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  13. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    ila kiukweli huu mfumo wa kuongozwa na wanawake kila mahali utatu cost sna Sasa mpka suzana kuganda akiwa IGP tutatoboka Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  14. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ndo akili yako ilipofikia mwishooo Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
  15. mbwanajoseph

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa getini ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam punguzeni njaa, msijifiche kwenye kichaka cha barakoa

    Kuna ofisi moja ya mkuu wa wilaya nilienda nikwa nafatilia mambo yangu wakanirudisha nje nikavae barakoa chaajabu wahudumu wa pale ndani na mpka mkuu wa mkoa mwenyewe hajavaa barakoa ,,nimetoka kwenda kununua barakoa narudii ,naambiwa muhudumu kaenda kunywa chai nilimind sana Sent from my TECNO...
Back
Top Bottom