Dar: Mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali inanyesha

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,310
Mvua kubwa sana inayoambatana na upepo mkali unaofikia mpaka 7kts inanyesha muda huu hapa Dar.

Kwa upepo huu mlioko barabarani kurudi majumbani kuweni makini, na mlioko maeneo ya mabondeni chukueni tahadhari ya mafuriko.


Screenshot_20220120-231228.jpg
 
Back
Top Bottom