Recent content by mbuzi wa mshenga

  1. mbuzi wa mshenga

    Ni wapi naweza kupata sigara nikauze jumla? Nipo Dar

    Bro hongera sana embu toa mchanganuo wa huo mtaji wa 100ml na pia inaweza kutoa kwa faida ya kiasi gan?mtu akijalibu kuwekeza labda
  2. mbuzi wa mshenga

    Mpaka sasa mbunge mstaafu Seleman Bungala a.k.a BWEGE alikuwa mbele ya muda sana kwa wanaojita wapinzani na wanachama wa CCM

    Nakumbuka huyu mzee aliwahi kusema mala kadhaa pale bungeni kuwa itafika mahali hakuta kuwa na chama cha upinzani kitachokuwa na wabunge, madiwani na hata wenye viti wa vitongoji na watabaki CCM Watupu bado watanyosheana vidole na hata kugombana wenyewe kwa wenyewe,Na hiki ndicho kinachotokea...
  3. mbuzi wa mshenga

    Baada ya kifo cha mke wa Mrisho Mpoto wasanii wamejifunza nini?

    Kuna la kujifunza nadhani hata msiba ukiisha kama ana busara atachagua upande wa kuunyenyekea asee
  4. mbuzi wa mshenga

    Baada ya kifo cha mke wa Mrisho Mpoto wasanii wamejifunza nini?

    Hapo unazungumzia vipi uhalisia?hayo maneno ya oktoba tunatiki, kifo ni kifo tu, yanahusiana vipi mkuu?
  5. mbuzi wa mshenga

    Baada ya kifo cha mke wa Mrisho Mpoto wasanii wamejifunza nini?

    Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa. Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na...
  6. mbuzi wa mshenga

    Kutokuwemo mashabiki hakuondoi uhalali wa mechi

    Yanga ndio anajukum la kuuchagua uwanja je ushaelezwa mechi inachezwa kiwanja kipi?
  7. mbuzi wa mshenga

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Achaneni nae huyo ukiona mtu wa hvyo kila kitu kwake analeta ujuaji ujuwe
  8. mbuzi wa mshenga

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    waswahili walisema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo sasa mahadhi gari anaikosa na jela yeye na mwanae inawaita asee
  9. mbuzi wa mshenga

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Hapa leo tunachungulia kila mala kama kina soraya wanavyofatilia talib na genge lake pale mtini pub
  10. mbuzi wa mshenga

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Duhh mkuu leo hatuapati bonus si unajua lakin mazoea hujenga tabia mkuu
  11. mbuzi wa mshenga

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Nikavunja meno ya watu😭😭
  12. mbuzi wa mshenga

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Niko bar hapa kuna kamuhudumu kananipiga chenga kila siku leo kajaa kwenye mfumo nataman nipate juice na mizizi ya babu mabud ili kesho aludi kwao akitembeea kama anataka kupima viwanja shenzi huyu😄😄😄
  13. mbuzi wa mshenga

    Kama kigogo wa juu wa chombo cha dola, bank statement yake inaanikwa hadharani huku ikionyesha miamala inayofanya watu wahoji; je, nini kinaendelea?

    Kukaza fuvu lako ni kuendeleza kuumia kwa mishipa ya shingo yako mzee hivi kuna mfanyakazi wa serikar anaeweza kukopeshwa kiasi hicho?je kila mwezi malejesho yake yanaweza kuwa kiasi gani na kwa muda gan?na kama yupo jaribu kunifuta vumbi la kichwa maana inawezekana nikawa sijui au kuwahi kusikia?
  14. mbuzi wa mshenga

    Kama kigogo wa juu wa chombo cha dola, bank statement yake inaanikwa hadharani huku ikionyesha miamala inayofanya watu wahoji; je, nini kinaendelea?

    Mbona kama unatumia nguvu nyingi sana kumbuka ulitaka uthibitisho sasa umeelekezwa ulipoonekana huo uthibitisho unaanza kukaza fuvu kwa vioja vyoko vya kipuuzi,humu hakuna mtu mwenye akili ndogo anaeweza kujiingiza kwenye mtego wa kusambaza taarifa hyo aonekane kuwa ni sehem ya mshtakiwa.kama...
Back
Top Bottom