Na wazuri kutukana hao na wafuasi wao na kulazimisha mitazamo yao yaani wana akisi mapungufu ya makuzi na maadili kwa upande wao
Kama kutakuwa na ICC huyu Mange,Maria , Lissu na Heche wasukumwe nao huko kwa kuleta maandamano ya fujo, uporaji na kusababisha vifo, hata hao wa mzozo wa Palestine...
Na nashangaa watu wanasema watatoka tena na kama kutoka kwa namna ile ya bila mpangilio na sio kwa njia ya amani na wengine kwenda kupora na kuharibu mali za Wananchi wenzao watafanya pia watu wengine wahami na kulinda Mali zao kwa kutumia silaha mbalimbali na hapo itageuka vita ya wenyewe...
Ni aibu kama Mwafrika tena ni mweusi mwenzangu kaandika haya, lini tutajitambua
Mengine hayo ya Vita mtajuana wenyewe japokuwa kwa mtizamo wangu hauwezi kupora ardhi ya mwenzako kwa kisingizio eti nilipewa na imeandikwa kwenye kitabu chako kama vile watu wote tunafata na kuamini katika hicho...
Unasema alikutesa kihisia ndo umlipe hivyo hivi wewe unategemea ukitongoza tu mwanamke akukubali hapo hapo, sio wote wapo hivyo, na mwanamke wa ndoto zako inaleta maana ukisumbuka kidogo kumpata mkuu na nzuri tayari umempata ingekuwa kama ni sehemu ya kumbukumbu yako kama ungeichukulia kwa uzuri...
Labda kwa taarifa tu Wapalestina wanao mkubali Yesu Kristo ni wengi kuliko wa Israel (Jews)
Kwa ufupi Wapalestina Warabu ni wengi kuliko Jews ambao ni Wakristo
Pia Mitaa hiyo kama alivyosema mtanguliaji karibu na soko la kisutu na Hotel ya Chef Pride kuna duka linaitwa Tuff spares na duka lingine lipo kama unaenda kule duka la Tronics Morogoro road , linaitwa Morogoro Store pia wana vipuri vya magari ya ulaya, BMW, Benz,Audi, Range Rover na kadhalika...
Sex ina nguvu kubwa mno, na ukiitumia vibaya inaweza kukuumiza kimwili , kihisia na kiroho
Pia ukiweza kudhibiti na kuto kutoa manii/shawaha ovyo ovyo kuna nguvu ambayo inaweza isieleweke lkn unaipata kuanzia kimwili na kiroho
Naungana na wewe mkuu tusifanye ngono ovyo ovyo na tutunze hiyo...
Upo sahihi January ni Muislam niliisha faitilia maelezo yake Insta aliandika , aliwahi kuishi na bibi yake mkoani Kagera vijijini akiwa mdogo tu kwa umri na akikumbukia kisa cha Muislam mmoja aliekuwa anatafutwa na bibi yake mzaa mama (Mkristo) achinje kuku kwa sababu January alitakiwa kula...
Kilicho mkuta Ben na hata Lissu ilikuwa ni somo tosha ni mtu gani akikosolewa, wote wanakosolewa na haina shida maana kazi yao lazima wakosolewe , lkn uvumilivu baada ya kukosolewa/maoni tofauti ndo yanawatofautisha mkuu
Walio mkosoa Mzee Baba wengine mpaka leo hatujui walipo, mfano Saanane na kama Taifa tumeisha sahau hili na kuna familia hawajui mpendwa wao mpaka sasa yupo wapi
Alikosolewa lkn hakuwa mvumilivu na kuna muda zilitumika njia za porini, kama kilichotokea kwa Lissu
Sidhani kama ni akili kwa mazingira yetu haya nacho ona anacheza na mazingira ya sasa kwamba Rais ni Mwanamke afu Mzanzibar na tena Muislam ni kama kuna ka wivu hivi
Pia issue ya Bandari watu wameanza ku test kina cha Rais na kwa hasa hoja kama hizo tatu juu, lkn hana sijui akili au nini ni...
Mkuu nia yako iliyofichikana ipo wazi tu, tulia kama kipindi kile mkuu wangu, unaweza kuwa na point moja au mbili lkn hauna uhalali huo kwa historia yako ya ulivyokuwa ktk utawala ule, hauna ukereketwa wala uchungu huo, umetoka ktk Pango kwa ajenda yako ambayo ipo wazi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.