Recent content by Mbuya Mtani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Hata kamusi ya wanyama ameandikwa koboko mate, cobra
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya uwekezaji bora wa kupanda na kuuza miti kwa ajili ya mbao

    Miti Ya matunda ni uwekezaji mzuri zaidi mbao..Miparachichi,milimao,mipapai,miembe,migomba,michungwa,nk.. Kutegemeana na sehemu,,,,lkn ni vyema kushirikiana na wadau hasa wazoefu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wanafunzi Wilaya ya Mbozi (Songwe) wanalimishwa kwenye mashamba binafsi ya Walimu

    Toa ujinga wako,kwa hiyo wakilima mashamba ya walimu wanapungua nini.. Ndiyo sababu wanafeli ajira siku hizi,magonjwa kibao na uhuni...pia hakuna uhusiano kati yao na walimu,wazazi ujuaji umezidi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa bawasiri

    Uchawi tu,inbox ya nini..watu wanahitaji kupata taarifa hizo kwa msaada..Na unaweza kuufanya wazi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya neno "ndio" na "ndiyo"

    Umeanza vizuri halafu ukajichanganya.. maelezo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fanya biashara kisasa ukiwa na Lipa kwa Mpesa

    Kuetengeneza Voda lipa ni bure lakini mnacharge,kulikoni?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata mwenyeji Mwakaleli, Mbeya

    Pumbavu kabisa,mtu anauliza kama huna haja ya kumjibu si unanyamza tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya gani nzuri Tanga Kwa kuishi?

    Hajauliza warembo,acha ujinga!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuanza maisha Karagwe, Kagera. Wazoefu nipeni ABC

    Kwani hilo ndio swala amehitaji kujua,acha ujinga!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kuhusu wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera

    Hi Kwani amesema anaenda kugegeda,ujinga umejaa sana vijana..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Nenda ukayanywe,upate majibu!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Nenda kayanywe sasa,pumbavu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Wagogo na warangi pia
Back
Top Bottom