Ushauri: Ni sehemu gani nzuri ya kuishi kati ya Tukuyu ama Kyela?

Mkuu huko ulikochagua pesa unaitoa wapi??
Maana tukuyu kweli ni kuzuri kwa kuishi hasa kama umeajiriwa.

Walimu wengi walioajiriwa tukuyu huko wamejenga na wengine wana biashara zao safi kabisa, huko mshahara unaonekana labda uwe mpenda starehe saaaana.

Ila kwa mishemishe za kitaa tukuyu bado iko nyuma coz mzunguko wa pesa ni mdogo, nadhanj ni kwa sababu upatikanaji wa chakula si jambo kubwa huko, kukaa njaa utake wewe tu.

Bora hata ingekua tukuyu town, katumba, kk, kiwira lakini huko kandete duuh mbona ndichi sana mkuu.
Hata mimi na mshauri mdau asikubali kwenda ndichi zaidi yeye abaki Tukuyu mjini au kiwira basi hapo atakua kamaliza kazi.
 
Back
Top Bottom