Recent content by mbutamaseko

  1. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Acha ulimbukeni sister. Kwani DSM ni nini? Yaani kuishi dsm uniona kama ndio umefanikiwa sana kimaisha? Puumbaavu sana
  2. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Video: Dude lishaamshwa, Je, Gwajima ataenda mahakama ya Tanzania au kwa Mungu kupinga maamuzi ya watu 2 kujichagua kuwa wagombea?

    Mbona kama unamtukana namba 1 ? Kama Gwaji ndio anaoga na kichaa aliyechukua nguo zake ni nani? Kwa nini ufikie hatua ya kumuita kichaa? Msifanye hivyo wazee
  3. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Je ulishawahi kufanya kazi au kuwa na cheo ambacho kila siku unatishiwa kufukuzwa au kutenguliwa?

    Pole Mwalimu Mkuu. Kama vp waachie tu cheo chao
  4. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa wananchi wa Ngorongoro kuhamishwa?

    Naona ID mpya fasta kuja kutetea unyang'anyi. Kwa hiyo Rais kajisikia kuuza ardhi ya Wamaasai?
  5. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Hapana kabisa. Tatizo umemlea ukiwa na matokeo yako mfukoni. Ulitaka awe kama unavyotaka kwa kutumia Fimbo na vitisho. Huo unaoona ujinga au kutokuwa na uwezo wa kufikiri! Ndicho kitu ubongo wake umeona afanye ukidhani ndicho unachotaka ili bakora na ukali wako umuepuke. Kumbe ndio nakosea...
  6. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Inaonekana ulimlea kwa sheria kali sana na ulikuwa unamuadhibu kwa kiboko mara kwa mara. Hiyo ilimjengea hofu,uoga na kutokujiamini. Kwa pamoja vitu hivyo vilitawala akili yake kiasi cha akili kukosa fursa ya kujifunza zaidi ya kuwaza adhabu na bakora kutoka kwako. Malezi ya kufoka foka huleta...
  7. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

    Kujenga ni uoga
  8. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

    Haijawahi na haitotokea. Kwanza kujenga nyumba ni uoga wa maisha na hofu ya masikini
  9. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

    Hakuna gari la Mbwa ila kuna nyumba za mbwa kwa kila anayemfuga.
  10. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

    Swali la kujibu. Ni kwa nini hakiwahusu wabunge na Mawaziri?
  11. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    Post za mwanzo kabisa niliwahi kuwatahadharisha kuhusu hawa kopa ha sijui M gas. Jamaa ni wa hivyo sanaaaa
  12. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani ana tabia kama zangu?

    Bro acha kupiga punyeto. Hayo yote yataisha. Ukiendelea, soon macho yataanza kupoteza uwezo wa kuona..
  13. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kufanyika Unguja: Je, wosia wake umezingatiwa?

    Una uhakika? Au ndio inasemekana?. Kama huna huo wosia au hata clip ya Mwinyi akisema iyasemayo, basi kaa kimya acha watu wamzike baba yao wanapotaka wamzike kwani ni Baba yao na sio Baba yako. Wewe subiri utatekeleza hayo kwa Baba yako.
  14. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

    Kwani akizikwa Zanzibar utapata hasara gani? Na akizikwa Mkuranga utapata faida gani? Ni Baba yako au ujuaji tu? Sio kila kitu kinahitaji uchambuzi. Pumbaaavu
  15. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Joshua aliwakosea nini HAMAS?

    Alikuwa na pensi ya jeshi. Kwa hilo tu Huenda ilikuwa ngumu kuwaaminisha yeye hayuko Israel kwa shughuli za kijeshi.
Back
Top Bottom