Recent content by Mbusule Ndelya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Ungemwambia afute kauli yake ya kuomba kura za kidini ,halafu ndo useme acha ubaguzi ,ndo wamempa tuzo ni walutheri Wala sio uongo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Labda tuzo ya dini ya walutheri
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa

    Kwani nani aliyesema lowasa ni fisadi baada ya kufanya uchunguzi ,na kumuweka lowasa ktk list of shame ,ni nani tena aliyesema lowasa ni msafi na hayupo ktk list of shame ,si ni nyie wale wale ..leo mnasema huyu ni fisadi ,kesho mnasema sio fisadi na mlisema mkapimwe akili sijui mmeshapimwa au...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mikutano ya Dr. Magufuli, Dar es Salaam (Kigamboni, Mbagala, Temeke, Ubungo, Kinondoni)

    Kama ingekuwa kuzomea ndo kushinda urais basi malofa mngeshinda kwa kishindo kikubwa lkn zomeeni saaaana ,maana ninyi ni mafundi wa kuzomea ,ila mjue ikulu yenu ni monduli sio magogoni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na Dr Magufuli akaniomba kura

    Magufuli Hana hofu ya kushinda waliowapigia cm ni wengine sio yeye Wala huo muda Hana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Ccm itashinda tu na wewe ukiondoka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Hata aondoke ,ushindi wa uko palepale naye mjinga mmoja tu ,kwani Kala maharage ya wapi huyo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM itashinda tu uchaguzi mkuu ujao hata kwa goli la mkono

    Kushawishi wananchi wakae vituoni kulinda kura hilo,ni kosa la kushtakiwa ICC Wala sio kauli ya goli la mkono ,na ilitolewa Mara moja tu lkn kulinda kura ni hatari mno kwani ni kuhanasisha watu kuvunja amani ,na Siku hizi mnaitwa makamanda mnaandaliwa kwa vita ,ni hatari mno
  9. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli azomewa Mwanza

    Nyie watu wa ukahawa mmshachanganyikiwa tyr mna mawenge sana ,,unatuonesha pisha ya mbeya kwa malofa wengi ,hadi unasema ni Mwanza ,inabidi tukupepee
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ashindwa kuhutubia Misungwi

    Wewe kweli ni kiazi ,Magufuli kahutubia zaidi ya saa 1 kiwewe kimewakuta nyie watu wa ukahawa acha usiwapotoshe malofa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli aiteka Ngudu wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza

    Wataisoma
  12. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA na Lowassa ni Vigeugeu

    Hawawezi kuamini hadi 25october
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

    Kumbuka na Richmond ,dowans yote
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM waweke ushahidi hapa, Magufuli ashindwa kufanya mkutano wowote Monduli

    Mkuu Kama unataka ushahidi subiri October 27 au 28 utaupata
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Kwani we ni bikira au ulisha bikiriwa
Back
Top Bottom