acha uongo mbona wanasema hata startv ilikata matangazoo?? uliza kwa waliokuwa karibu na Tv

Wanasema!
nimesikitika na nimesikitika sana kuona kila mahali anaposimama anajinadi kutumia kisukuma, i can believe kuwa unaweza kutumia ukabila na ukategemea mimi mngoni kumpigia kura, hapana leo nimechomoaWewe ni muongo mkubwa missungwi magufuli amehutubia na kuwanadi madiwani na mbunge wao maarufu kama mawe matatu, pia alimkaribisha mbunge mstaafu shibiriti na mikutanoni palijaa maelfu ya watu Acha kupotosha umma
Unaleta siasa za kitoto na kipumbav sasa! Ina maana wewe umehadithiwa na hawara yako nawe ukakimbia kuja kupost hapa?acha uongo mbona wanasema hata startv ilikata matangazoo?? uliza kwa waliokuwa karibu na Tv
Leo mgombea wa ccm Dr Magufuli hakuhutubia jukwaan katika jimbo la misungwi zaidi ya kelele za wasanii.
Magufuli alifika na kupanda jukwaani lakini alipokuwa anatumbuiza fid Q tulishangaa kasimama na kuondoka bila hata kusalimia.
Jambo hili lilisababisha watu wazomee, na hata alipokuwa anaimba fid Q alizomewa pia na kundi la watu nyuma.
Sababu nilisikia kwa mbali kwani nilikuwa nyuma kwamba sijui anawahi kwenda wapi hukoo

nimesikitika na nimesikitika sana kuona kila mahali anaposimama anajinadi kutumia kisukuma, i can believe kuwa unaweza kutumia ukabila na ukategemea mimi mngoni kumpigia kura, hapana leo nimechomoa
Umechanganya!Leo Star tv walikuwa live! Labda "magufuli" wa Jana Tunduma sauti iligoma Mbowe akasingizia Vipaza sauti
Siku nyingine mkipewa vimemo, someni vizuri kabla ya kubandika hapa. Mkutano wa Misungwi ulioneshwa LIVE! Hayo uliyoandika ni madharau kwa wanajukwaa hili.
Wewe ndie muongo sababu wote tumeona Startv na hadi Magufuli akamwita Shibiriti na kumtangaza kuwa alikuwa moja wa wadhamini wake wa kwanza alitolewa 10,000.pia tumemuona akimnadi mgombea ubunge jimbo la Misungwi,kitu kama hukijua au kukiona usikurupuke na kusema uongo,ndio maana mnaitwa malofa na wapumbavuacha uongo mbona wanasema hata startv ilikata matangazoo?? uliza kwa waliokuwa karibu na Tv