Magufuli azomewa Mwanza

Magufuli azomewa Mwanza

Leo katika hali isiyo ya kawaida mgombea urais wa ccm amepata shubiri ya wimbi la wana Mabadiliko baada ya kusimama na kujaribu kuwahutubia wananchi ambao walionekana kutotaka kabisa kuisikia sauti yake na kuanza kuimba kwa sauti kubwa Lowassa Lowassa Lowassa huku wakipeperusha bendera za CHADEMA na kumuonesha ishara ya vidole viwili.
Pamoja na kujifanya kichwa ngumu na kuadelea kuwahutubia uvumilivu ulimshinda baada ya kuona hakuna anayemsikiliza na kuamua kutimua mbio yeye na msafara wake.

Video ninayo whatp inazingua kuweka nipe number nikutumie.

Jumapili ndio mwisho wenu.

Magufuli mbele kwa mbele
 
tuma video hapa tuhakikishe
 
hizi dakika za lala salama pombe anakuwa pombe sana.angekuwa anasafiri na mahabubahhh wake ange kidogo anaonesha utulivu.
 
Mfyuuuu waongo wakubwa kwani video hiyo anayo mtu mmoja tuuu....igweee nitamnaniliu mtu
 
Dah Magufuli ana moyo mgumu hivi hajajua tu kuwa wananchi wanamtaka Lowassa?
 
Hicho kikundi kidogo cha wanywa viroba,mwisho wao jumapili ijayo
 
Sitaki maneno, mwenye macho haambiwi ona.

Watch "Magufuli azomewa mwanza" on YouTube - https://youtu.be/hus8eQ82Lnk

Hivi bado kuna upumba.vu huu wa kuaandaa watu kurekodi vi clip vya kuzomea kweli? We unadhani ulofa wa kuandaa watu wa kurekodi clip hizi ndio utawabadilisha watu maamuzi yao ya kumchagua Magufuli kwa siku hizi 6 tu zilizobaki? Mkiendelea na ujinga huu watu wataweka ile ya Jana Tunduma na nyinginezo ambazo Mgombea wa ukawa aliharibikiwa na msije kuleta lawama, just wait.
 
Nyie watu wa ukahawa mmshachanganyikiwa tyr mna mawenge sana ,,unatuonesha pisha ya mbeya kwa malofa wengi ,hadi unasema ni Mwanza ,inabidi tukupepee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom