Habarini wakuu mbalimbali nina changamoto ya simu yangu kujizima mala kwa mala baada ya kubadili kioo chake og.maana nilipata ajali kikaweka wino mwisho kikawa hakioneshi kabisaa.
Tangia nilipobadili kioo kuna muda display huwa inakuwa kama imezima na ukipiga simu inaita but kioo hakiwakii. Na...
Nataka hiyo garii niiongezee bampa Kama hiyo picha namba mojaa katika kila upandee huku moshi wanachonga za batii ambae amewai kufanya hivo anipe changamoto alio wai kutana nayo pia Kama unawajua Wana wanao weza fanya hiyo kazi kwa umakiniii nijuze hapaaa...
Sent from my Mi A2 Lite using...
Huo sio uwekezaji mdogo pikipikii 5 kwa m2 sawa na m10 bahaji 5 bajaji moja ni m7 ..bado mgahawa bado saloon.hahaha eti uwekezaji mdogo Nani kasemaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.