JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 582
- 272
haina tatizo lolote
bei ni 450k
ipo manzese argentina
karibuni
bei ni 450k
ipo manzese argentina
karibuni
haina tatizoIna tatizo gani?
Ina risiti?
Kwanini unaiuza?
Imetumika mda gani?
Uko tayari
- mauziano yafanyike kituo cha polisi au mahakamani?
-malipo ya mauziano yafanyike kupitia benki?
Serious buyer Nasubiri majibu
Nai hitaji mawasilianohaina tatizo
haina risiti
ni used
imetumika miezi 8
nipo tayari popote pale tufanye biashara na kwa mfumo wowote ule
Bado ipooi