Recent content by mburujaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je kampuni ya helping hands international ni ya kweli?

    fafanua zaidi ndugu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    hahaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli kuhusu hii niliombaga mwaka jana ila jana nimetumiwa email naombeni mnijibu ta

    Mimi pia wamentumia ila sina imani nao kwa vigezo vifuatavyo. 1. Wamesema watafungua ofisi Tanzania January2016 wakati huohuo semina itafanyika januari 5 ,2016, swali : kwanini semina isifanyike TZ na wakati tangazo lao la kazi walisema hii onawahusu was TZ tu na ni nafasi ziko 100. It means...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna usalama kweli?

    Mimi pia nimetumiwa hiyo email. Niko njia panda. Japo kweli niliapply. Kwanini wanatanguliza pesa? Semina bila interview? Tusaidiane atakae pata info za kuaminika. Mimi nilikua nawatafita Hadi nimekutana na ninyi huku
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Angeniteua Mimi kama vipi
  6. M

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Hivi wasomi wengi hapa TZ ni waislam au wakristo. Tafakari ujijibu mwenyewe tusiwe wa nafki.
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu sekondari tubadilishane mmi niende manyoni yeye aje Mufindi(mafinga). MAWASILIANO 0754296850
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Salaam. Hivi naweza kuhama mfuko wa jamii?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze kuhusu PSPF

    Hivi mtu anaweza kuhama mfuko wa jamii aliopo?
  10. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo biharamulo NIJE SINGIDA
  11. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO KIGOMA WILAYA YA BUHIGWE MIMI NIJE MOROGORO wilaya yoyote. 0784 366 703
  12. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO BIHARAMULO ndugu aje SINGIDA. 0784 366 703. AJIRA MPYA SEKONDARI
  13. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nafafuta mtu wa kubadilishana wilaya ajira mpya. nimepangwa BUHIGWE-KIGOMA. Nataka kuja Morogoro Wilaya ya Mvomero, Morogoro vijijini, AU morogoro MV. MAWASILIANO 0784366703. Ishu za kufuatilia TAMISEMI mimi rahisi tu kufika niko karibu. WAHI TUOKOE MUDA
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa TAMISEMI juu ya ajira kwa waalimu wapya.

    aaa! Aaa! Aaa! *¤'`*¿~.;+¤**¡!
Back
Top Bottom