I learnt a big thing on this topic, though huwa sivisit sana na cna campan humu, but I appreciate the presence of "great thinkers". Thanks jf, I am going to put into practice.
Very true na nimeshuhudia jamaangu akibwagwa na pete ya ichumba ikarudishwa. Tena ilikuwa bonge la engagement Mbele wazazi. Nilimuliza dem, kaniambia hawaendani anaboa,so itakuwa ngumu. kuishi naye. Mm nilimwelewa maana huyo jamaa akiona cm ya demu anaweza akajamba. Akipigiwa cm hata kama yuko...
Mbowe ndo kapewa hela na akapindisha katib ili apite bila kushindanishwa na kwenye kampuni ya babamkwe mtei. Afu mnamshambylia dr . Nyenyenye! Gwaler amuhung
Degree za kichina kama prof wa kichana. Vyuo Vikuu kibao magraduate kanjanja hata hawawez kujieleza ndo mnamshobekea prof. Kikwete. Kikubwa tutakachomkumbuka prof . Ni kuua elimu, kuongeza deni la taifa mara 20, kuaafiri nchi nyingi duniani kwa kodi zetu, kuongeza idadi ya mafisa
Kazi ngumu kweli wanasheria wanafundisha secondari, wengine wako ktk taasisi za fedha, ajiamdae kisaikolojia kufanya kazi yyte, akisubiri uanasheria atachina nyumbani, maana hizo degr ziko kibao afu low quality
Ni maandiko ya biblia takatifu, ktk kitabu cha nabii isaya ... basi watajikusanya wanawake hata saba wakimwambia mwanaume, basi utuoe tuondokane na aibu nasi TUITWE KWA JINA LAKO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.