Recent content by MBUNGE WA KUJITOLEA

  1. M

    Serikali yatoa Bei mpya elekezi ya sukari, yafikia 2,200 kutoka 1,800

    Mtaani kwetu tunanunua kilo kwa 3200, kura yangu niliyowapigia upinzani haijawawezesha kuiongoza Tanzania lakini nafarijika mimi si miongoni mwa waliochagua serikali hii
  2. M

    Nahitaji Kuku wa kienyeji

    ninao, ni wakubwa kwa maumbo yao. Bei 15000.
  3. M

    Jipatie kuku bora wa kienyeji kwa bei nafuu

    Mkuu tajirisana nimeshindwa ku-upload picha hapa. Kama hutojali nipatie namba yako pm nikutumie whatsup
  4. M

    Jipatie kuku bora wa kienyeji kwa bei nafuu

    Wadau heshima kwenu, Nauza mitetea wa kienyeji waliofikia umri wa kutaga kwa bei ya shilingi 17000 kila mmoja. Wana maumbo makubwa na wanafaa kwa kufuga au kwa nyama. Nipo Tabata, lakini naweza kukuletea popote Dar es salaam kama ukichukua kuanzia 10. Vile vile wapo majogoo wakubwa kwa ajili ya...
  5. M

    CHADEMA yazindua Sera Mpya

    kuna mwenye sababu ya 'maana' ya kuniambia ili nisiwe mwanachama wa chadema?..bila shaka hakuna!
  6. M

    Jangwani: Lissu amenisikitisha!

    Misisiemu ni mijitu ya ajabu sana...
  7. M

    Dr Ramadhani Senzota wa UDSM na kumjeruhi kwa risasi fundi ujenzi

    Huyu mzee alikuwa mwalimu wangu pale idara ya zoolojia! Pia alikua mshauri wangu wa taaluma. Ni mtu mpole sana
  8. M

    CHADEMA kama CHADEMA na Viongozi wenu hivi kweli mpaka Mwezi Unaelekea kwisha!!

    Unadhani ni kazi ya chama cha siasa kugawa futari? Je unadhani waislamu tunahitaji sana kusaidiwa futari ili tuweze kutekeleza ibada ya swaumu? Huoni kwamba kumpa mtu mlo mmoja na kisha ukamtangaza kwa kila aina ya vyombo vya habari ni kumdhalilisha? Kwa taarifa yako wenye akili tunafahamu ya...
  9. M

    Sikiliza Pinda: Kwa kuhalalisha Uhalifu Umewapa Wananchi Haki ya Kujitetea wakipigwa!

    Kiongozi wa serikali kutoa kauli ya kichochezi kama hii, tena katika taifa ambalo tayari kuna malalamiko mengi juu ya uonevu wa askari polisi dhidi ya raia ni kiashirio cha upungufu mkubwa wa hekima! Hii inatufanya tuamini kwamba polisi wanaonyanyasa raia hawafanyi hivyo kwa utashi wao binafsi...
  10. M

    SAKATA LA UJANGILI WA KINANA: Wabunge wa CCM wataka kuwa na Kikao Usiku huu

    Wanavyohangaika 'kumsafisha' ndio wanavyozidi 'kujichafua' na kuthibitisha ya kwamba chama chao ni CHAMA CHA MAJANGIRI. Hili genge la majangiri kama lisiposambaratishwa watoto wa kitanzania watakaozaliwa miaka michache ijayo hawatabahatika kuwaona 'the largest terrestrial mammals'...na lawama...
  11. M

    Biashara Gani kwa sasa inafaa na haka ka Mtaji kangu ka 1mil to 2mil tafadhari msaada

    Ndugu kasweet, nami pia nimawazo ya kuazisha biashara ili niweze kujikwamua. Tayari nimebuni biashara na mchanganuo wangu unahitaji mtaji usiopungua mil 2, kinachonikwamisha kwasasa nina mil 1 pekee. Kama ukotayari tunaweza kuwa washirika kwa kuunganisha mitaji na kufanya biashara pamoja. Kama...
  12. M

    Swali Gumu nililowahi kuulizwa na mwanangu

    Nianze kwa kusema kwamba sijaweza kuthibitisha kama ngombe ni wengi kuliko paka kwa kuwa sijaona utafiti wanamna hiyo! Lakini kama hivyo ndivyo haishangazi kutokana na kanuni za ki-ikolojia kama ifuatavyo: 1. Wanyama wenye maumbo madogo hukua na kupevuka kwa haraka, vile vile huishi kwa...
  13. M

    Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    Jambo la muhimu ni kuhakikisha kila mwanafunzi anapata mahitaji na mazingira bora yanayomuwezesha kujifunza na kuonyesha kipaji chake kwa ufanisi wa hali ya juu. Aidha swala la kuwagawa wanafunzi katika madaraja tofauti ya ufaulu ni muhimu liendelee kuwepo ili kuwahimiza wanafunzi wajifunze kwa...
Back
Top Bottom