Jipatie kuku bora wa kienyeji kwa bei nafuu

Sep 19, 2012
21
8
Wadau heshima kwenu,
Nauza mitetea wa kienyeji waliofikia umri wa kutaga kwa bei ya shilingi 17000 kila mmoja. Wana maumbo makubwa na wanafaa kwa kufuga au kwa nyama. Nipo Tabata, lakini naweza kukuletea popote Dar es salaam kama ukichukua kuanzia 10.
Vile vile wapo majogoo wakubwa kwa ajili ya nyama kwa shilingi 25000.
Namba yangu ya simu ni 0658314811
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom