Recent content by MBUGHUNI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni watanzania, tunaahidi kuendelea kuwatumikia kwa umakini zaidi!

    Mimi nafiliika kiuchumi kwa sababu ya JF,kazi zinadoda kwa sababu nimeshindwa kuipa muda kidogo JF,hata hivyo nafarijika kuona nimetajirika kifikra kwa sabb ya JF
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngassa ni wetu - Simba

    Hapa umetumia akili nyingi mno kuelezea,hongera sana!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabere Marando ni nani?

    Ni kweli,hili naweza kuthibitisha popote!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma-Ofisi ya Spika yatamba!

    Huyu jamaa lazima tumpe pongezi kwa kazi anayoifanya,kuwa na uwezo wa kuandika post nyingi kwa siku ingawa zote ni upuuzi mtupu ni kipaji cha aina yake!Naomba tumlaumu kwa utumbo wake anaoandika humu lakini jamaa namvulia kofia!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma-Ofisi ya Spika yatamba!

    Nami nafikiri hivyo hivyo,ccm sio wajinga kiivyo kutekeleza mpango huo kwa haraka!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

    Nchemba amesema aliipeleka ile video kabla ya kufanya mahojiano na Star TV,polisi wanasema waliipata mtandaoni,we unajizia nini kuona sarakasi hii!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kibonde clouds fm kuwa mzalendo pia serikali iwe makini na matangazo kama haya

    Huyu Kibonde si alizungusha form four?ni wa kuhurumiwa tu maana hajitambui!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Idd Pazi "Father" Atua CHADEMA

    Huyu jamaa ana maana hata Aden Rage,Joel Bendera na Venance Mwamoto nao mpira uliwashinda
  9. M

    JamiiForums Tanzania Idd Pazi "Father" Atua CHADEMA

    Hii ni mojawapo ya ID mpya zilizotoka baada baada ya Mr EGM-TTC-Butimba kutakiwa atoe maelezo juu ya elimu yake yenye mashaka mengi!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Habari Leo: CHADEMA kuingia msituni wakishindwa uchaguzi wa 2015

    Mkuu Wabhejasana,umechukua hatua gani kujiridhisha kuwa ni kweli Lema amesema maneno hayo,hujiulizi ni kwa nini ni Habari Leo tu ndio limeripoti hiyo habari,Je huko Bunda ni waandishi wa gazeti moja tu ndio walienda?
Back
Top Bottom