Ngassa ni wetu - Simba

Ngassa ni wetu - Simba

Hii habari ya Caroll ni tofauti na Ngasa kumbuka Caroll ameshamaliza mkopo wake West Ham but still WH wanataka wamsajili moja kwa moja ndio maana wako tayari kutoa hilo dau.Mkopo wa Ngasa Simba umeisha mwezi huu 5 so hiki ndio kipindi ambacho Simba walipaswa kusaini mkataba na Ngassa

Nadhani ndicho anacho ongelea Hans Poppe
 
Wao hawana elimu ya kutosha lakini wewe uliyonayo umeshindwa kuitumia.......pathetic!

Kanuni za usajili zinasema kuwa mchezaji anakuwa huru kufanya makubaliano na klabu nyingine (tofauti na iliyomsajili) ndani ya miezi 6 ya mwisho ya mkataba wake. Hans Pope (Huyu jamaa anaitwa Zakaria) anadai Ngassa alisaini mkataba mwingine wa kumbakiza Simba kwa msimu 2013-2014. Swali la kujiuliza hapo, Ngasa angeweza vipi kusaini mkataba huo katika kipindi ambacho yeye (Ngasa) alikuwa mchezaji wa Azam bila ridhaa ya Azam?

Kabla hujawashambulia wachezaji na kuwaita wenye elimu ndogo, napenda nikukumbushe kuwa, wanaoongoza kwa kusaini mikataba wasiojua imeandikwa nini hapa Tanzania ni 'wasomi' na sio wachezaji wa Simba Koko na Yanga Africa.

Tuache kuwasakama wachezaji kwa kuwa tu hawakufanya yale tunayotaka sisi. Kama nchi inamsomesha mtu kiasi anaaminika kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, halafu anatusainia mkataba wa madini wa miaka 100 kwa uwiano wa WAO 97%, SISI 3% na hatuna namna ya kuchunguza quantity, tuna haja gani ya kuwashikia bango wachezaji ambao hatukuwapa elimu wala mtaji?

Wakati Rage na huyo huyo 'Hans Pope' wanaingizwa mjini usajili wa Mbuyu Twite na wao walikuwa hawana elimu? Si walikuwa na makelele kama haya haya mpaka tukaambiwa kwamba Mbuyu Twite hatacheza na akachukuliwa RB, sasa kuna lipi jipya hapa la kuanza kumshutumu Ngasa hakusoma? Hawa wasomi si ndio hawa wanaandaa bajeti ya 1bn kwa makaburi huku wengine wanakunywa maji machafu kwa kukosa 8m za kununua pump ya kisima cha kijiji?
Mkuu cha kujiuliza hapa ni je taratibu wakati wa kumsainisha Ngassa zilifuata?

Mwaka jana tuliona Simba wakiongea na Mbwa na Mchunga mbwa(APR - Rwanda) wakasahau kuongea na mwenye Mbwa (FC Lupopo) matokeo yake tukayaona. Cha msingi hapa tutambue kuwa Ngassa alikwenda Simba kwa mkopo, je Simba SC waliwashirikisha viongozi wa Azam?
 
hii ndo bongo maana mchezaji yeyote atakaye sajiliwanatimu kubwa km yanga na simba inakuwa migogoro ni kwann?kwani hawaelewi ?mm naona kunaupugufu mkubwa wa sheria
 
Wao hawana elimu ya kutosha lakini wewe uliyonayo umeshindwa kuitumia.......pathetic!

Kanuni za usajili zinasema kuwa mchezaji anakuwa huru kufanya makubaliano na klabu nyingine (tofauti na iliyomsajili) ndani ya miezi 6 ya mwisho ya mkataba wake. Hans Pope (Huyu jamaa anaitwa Zakaria) anadai Ngassa alisaini mkataba mwingine wa kumbakiza Simba kwa msimu 2013-2014. Swali la kujiuliza hapo, Ngasa angeweza vipi kusaini mkataba huo katika kipindi ambacho yeye (Ngasa) alikuwa mchezaji wa Azam bila ridhaa ya Azam?

Kabla hujawashambulia wachezaji na kuwaita wenye elimu ndogo, napenda nikukumbushe kuwa, wanaoongoza kwa kusaini mikataba wasiojua imeandikwa nini hapa Tanzania ni 'wasomi' na sio wachezaji wa Simba Koko na Yanga Africa.

Tuache kuwasakama wachezaji kwa kuwa tu hawakufanya yale tunayotaka sisi. Kama nchi inamsomesha mtu kiasi anaaminika kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, halafu anatusainia mkataba wa madini wa miaka 100 kwa uwiano wa WAO 97%, SISI 3% na hatuna namna ya kuchunguza quantity, tuna haja gani ya kuwashikia bango wachezaji ambao hatukuwapa elimu wala mtaji?

Wakati Rage na huyo huyo 'Hans Pope' wanaingizwa mjini usajili wa Mbuyu Twite na wao walikuwa hawana elimu? Si walikuwa na makelele kama haya haya mpaka tukaambiwa kwamba Mbuyu Twite hatacheza na akachukuliwa RB, sasa kuna lipi jipya hapa la kuanza kumshutumu Ngasa hakusoma? Hawa wasomi si ndio hawa wanaandaa bajeti ya 1bn kwa makaburi huku wengine wanakunywa maji machafu kwa kukosa 8m za kununua pump ya kisima cha kijiji?
Hapa umetumia akili nyingi mno kuelezea,hongera sana!
 
Hii habari ya Caroll ni tofauti na Ngasa kumbuka Caroll ameshamaliza mkopo wake West Ham but still WH wanataka wamsajili moja kwa moja ndio maana wako tayari kutoa hilo dau.Mkopo wa Ngasa Simba umeisha mwezi huu 5 so hiki ndio kipindi ambacho Simba walipaswa kusaini mkataba na Ngassa

hayo mambo ya ngasa utasikia tu kina rage wameshindwa..
 
Hans Pope ni Mwenyeketi wa kamati ya usajili ya Simba ambayo imefanya usajili wa wachezaji wabovu kama

  • Dan Mrwanda
  • Salum Kinje
  • Daniel Akuffor
  • Kanu Mbiyavanga
  • Pascal Ochieng
  • Abdala Juma
  • Konabil Keita
  • ​Derick Waluya

Sasa sijui huo umakini ni upi,pia kumbuka sakata la Mbuyi Twite na Kelvin Yondani
mkuu, kumbuka hao wote uliowataja ni wazuri ila watz tumeharibikiwa kiasi kwamba uzuri wa mchezaji ni pale anapoifunga simba ua yanga tu. pia performance zinakuwa determined na siku ya mechi ya timu hizi, ndio maana wachezaji wenye mindset tofauti tunaowadharau hapa wakienda sehemu nyingine wanafanya vizuri. Fuatilia juhudi alizozifanya Kajumulo ambaye wengi tulisema ni muhuni tu

Mkataba unasigniwa hotel? mbona hata ile gari walompa ili ajiunge (VEROSSA) hana tena sijui mwenyewe amechukua maana ilikuwa ya Kaburu na sasa huyu Kaka hayuko tena Simba, watulie Simba huyu mtoto hana mapenzi na soka ana mapenzi na team..kama ni Soka hasingetoka Azam

azam walimwondoa hakutaka toka, mwacheni ngasa afanye anachopenda
 
Nilijua tu lazima Simba watayasema haya ili kupunguza makali ya kichapo
 
Kama mtu hawataki mnamng'ang'ania wa nini?
Hata mimi nawashangaa hawa viongozi wa timu yangu, Ngasa alishasema yeye anaipenda Yanga na anataka acheze huko si wamwache, kama walimpa hela bila ridhaa yake na alikuwa anazitaka kwa nini asichukue na alijua taratibu za ufadhili hazikufuatwa, wamwache homeboy akacheze tu kwa watani nao watafute winga mwingine, afterall mbona mpaka sasa tuna mawinga zaidi ya watatu, Chanongo, Singano, yule dogo aliyetoka Coastal, Frank Sekule, Kigi Makasi; bado tunang'ang'ania tu mchezaji ambaye hataki kuwa na sisi, hawa viongozi wana matatizo sana ndo maana vilabu haviendelei, ni sawa kulazimisha kuishi na mwanamke ambaye hakutaki eti kwa sababu tu umemtolea mahari. I call it pathetic.
 
Alienda kwa mkopo afu akapewa mkataba duu,. Hii inatokea bongo tu

Contract (Mkataba) = Agreement enforceable by Law. Mkataba lazima uwe na 'Offer' kwa upande mmoja na 'Acceptance' kwa upande wa pili. Hakuna 'Contract' endapo matakwa haya hayakutimizwa. Azam ilitoa 'offer' kwa Ngassa aende Simba kwa mkopo, Ngassa alikubali (Accepted), sijui kama Simba walitoa 'additional offer' ya kuichezea mwaka mmoja na 'offer' ilikuwa 'fully accepted' na Ngassa! Vinginevyo hiyo 'Contract' ni 'Void'.
 
Hii habari ya Caroll ni tofauti na Ngasa kumbuka Caroll ameshamaliza mkopo wake West Ham but still WH wanataka wamsajili moja kwa moja ndio maana wako tayari kutoa hilo dau.Mkopo wa Ngasa Simba umeisha mwezi huu 5 so hiki ndio kipindi ambacho Simba walipaswa kusaini mkataba na Ngassa

hayo mambo ya ngasa utasikia tu kina rage wameshindwa..
 
Mchezaji yupo lwa mkopo, sasa utamsainishaje mkataba mpya wa kumnunua moja kwa kmoja kabla ya msimu wa kusajili kuanza? I doubt kama anaelewa anachozungumza Hans?

Kisheria sasa ndo Simba alitakiwa kumnunua baada ya muda wa mkopo kwisha
 
Nadhani ndicho anacho ongelea Hans Poppe

Wewe unachekesha hasa. Sasa anachoongolea Hans Pope hapo ni kipi kinachofanana na scenario ya Andy Carrol? Mkopo wa Andy Carrol unamhusisha Andy Carrol, West Ham na Liverpool.

Hans Pope yeye anasema Ngasa alikubaliana na Simba kwamba utakapoisha mkopo ataichezea Simba Koko msimu mmoja, huo mkataba unamhusisha Ngasa, Simba Koko na nani? Zingatia kuwa by then Ngasa alikuwa mali ya Azam
 
sio mpenzi wa simba lakini katika watu walio makini pale Hans Pope ni mmojawapo na hana uswahili mwingi kama tulivyo wengi wetu, anaweza akawa na point!

Umakini upi wa kufoji sahihi ya mchezaji wa kutamka umemuongezea mkataba mchezaji aliye kwa mkopo hivi huyo HANS POPE ata neno kuongeza kwake msamiati.
 
klabu ya simba imedai kuwa mchezaji mrisho halfan ngassa bado ni mchezaji wao halali kwakuwa wana mkataba naye hadi mwisho wa msimu ujao.

Hayo aliyasema mwenyekiti wa kamati ya usajili ya simba, hanspope alipokuwa akihojiwa na radio one jana. Hanspope alidai kuwa ngassa alipelekwa simba kwa mkopo akitokea azam fc lakini baadaye alisaini mkataba wa hadi msimu wa 2013/2014.

Ngassa tayari ameshatambulishwa rasmi kuwa amejiunga na yanga.

Yetu macho...
ngasa hana mapenzi na simba.
Hawa viongozi kwanini bado wanamktaka ngasa.
 
Wao hawana elimu ya kutosha lakini wewe uliyonayo umeshindwa kuitumia.......pathetic!

Kanuni za usajili zinasema kuwa mchezaji anakuwa huru kufanya makubaliano na klabu nyingine (tofauti na iliyomsajili) ndani ya miezi 6 ya mwisho ya mkataba wake. Hans Pope (Huyu jamaa anaitwa Zakaria) anadai Ngassa alisaini mkataba mwingine wa kumbakiza Simba kwa msimu 2013-2014. Swali la kujiuliza hapo, Ngasa angeweza vipi kusaini mkataba huo katika kipindi ambacho yeye (Ngasa) alikuwa mchezaji wa Azam bila ridhaa ya Azam?

Kabla hujawashambulia wachezaji na kuwaita wenye elimu ndogo, napenda nikukumbushe kuwa, wanaoongoza kwa kusaini mikataba wasiojua imeandikwa nini hapa Tanzania ni 'wasomi' na sio wachezaji wa Simba Koko na Yanga Africa.

Tuache kuwasakama wachezaji kwa kuwa tu hawakufanya yale tunayotaka sisi. Kama nchi inamsomesha mtu kiasi anaaminika kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, halafu anatusainia mkataba wa madini wa miaka 100 kwa uwiano wa WAO 97%, SISI 3% na hatuna namna ya kuchunguza quantity, tuna haja gani ya kuwashikia bango wachezaji ambao hatukuwapa elimu wala mtaji?

Wakati Rage na huyo huyo 'Hans Pope' wanaingizwa mjini usajili wa Mbuyu Twite na wao walikuwa hawana elimu? Si walikuwa na makelele kama haya haya mpaka tukaambiwa kwamba Mbuyu Twite hatacheza na akachukuliwa RB, sasa kuna lipi jipya hapa la kuanza kumshutumu Ngasa hakusoma? Hawa wasomi si ndio hawa wanaandaa bajeti ya 1bn kwa makaburi huku wengine wanakunywa maji machafu kwa kukosa 8m za kununua pump ya kisima cha kijiji?

Highly talented scholar!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom