Dodoma-Ofisi ya Spika yatamba!

Dodoma-Ofisi ya Spika yatamba!

Mkuu unashangaa kwenye hii thread tuu, nenda kwenye ile ya hotuba ya Mbowe kuna michango yake kama 50 hivi, rudi kwa ile ya Arusha kuhusu uchaguzi wa madiwani napo kuna michango ya jamaa kama 10. Imagine kajiunga juzi lakini score bodi inaonyesha anamichango zaid ya 150, na ukizingatia yote pumba tupu.

Huyu jamaa lazima tumpe pongezi kwa kazi anayoifanya,kuwa na uwezo wa kuandika post nyingi kwa siku ingawa zote ni upuuzi mtupu ni kipaji cha aina yake!Naomba tumlaumu kwa utumbo wake anaoandika humu lakini jamaa namvulia kofia!
 
Back
Top Bottom