Idd Pazi "Father" Atua CHADEMA

Idd Pazi "Father" Atua CHADEMA

Acha utoto wewe mbona maisha yamekushinda usemi kwanza hiyo simu unayotumia ya mother ako.Ndio kusema suleman mathew maisha yememshinda kujiunga ccm.
Huyu jamaa ana maana hata Aden Rage,Joel Bendera na Venance Mwamoto nao mpira uliwashinda
 

Mmefikia wapi na ule utaratibu wenu wa kutengeneza kadi za CHADEMA, alafu wakati wa ile mikutano yenu mnayowasumba watu kwa malori, mnazionyesha kwa mbwembwe za "tumevuna wanachama wa chadema"?
 
huyu jamaa kwa kuokoa michomo nadhani ataokoa na ya ccmagamba
 
Hongera Kamanda,
wakati wa kujitafakari ni sasa
wengine wanaweweseka, wajuaji wanajiunga kundini
 
Idd Pazi "Father". maamuzi yako kaka, yanapaswa kupongezwa na kuigwa.
 
Karibu Idd Pazi,
Ulipata heshima sana ukiwa mchezaji mpira.....
Umefanya vema kwenda kwenye Chama kitachokupa heshima.....

Angalizo...sasa CCM ndio wataanza kuona umuhimu wako, watakuwa wanakupa mipesa mingi sana na kukulaghai kwa ahadi mbalimbali ili uisaliti CHADEMA. Kuwa Mwanagalifu sana na mafisadi haya!!! ukiyasikiliza hapa ndio heshima yako itashuka....
 
Kipa namba moja wa Simba na Timu ya Taifa Idd Pazi "Father" amejiunga CHADEMA. Alisema CHADEMA ndio Chama pekee kinaweza kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.

Source: Tz Daima

wenye akili wanatambua hili. Na ni weng kwa sasa. Wachache wenye utindio wa ubongo watazidi kuota magamba.
Congraturation Idd.
 
Karibu Idd Pazi,
Ulipata heshima sana ukiwa mchezaji mpira.....
Umefanya vema kwenda kwenye Chama kitachokupa heshima..
Angalizo...sasa CCM ndio wataanza kuona umuhimu wako, watakuwa wanakupa mipesa mingi sana na kukulaghai kwa ahadi mbalimbali ili uisaliti CHADEMA. Kuwa Mwanagalifu sana na mafisadi haya!!! ukiyasikiliza hapa ndio heshima yako itashuka....

Wakiongozwa na Rage! kuna watu wanaojiita watu wa mpira lazima waende kumlaghai!!!

Hii nchi bwana!
 
Ndo vyama visivyopenda wasomi. Wamejaa form 4 na form 6 ndo Bonge la msomi ndani ya Chadema kwanini njaa Kali wasikimbilie. Kesho utasikia Mr Nice kajiunga Chadema

Wasomi wamejaa ccm, wapo huko akina job lusinde, le poroffeseri maji marefu n.k
 
Wrong Turn....kwa wale wanaozijua Hizi movies wanajua nini kinamsubiri Idi huko Chadema
 
Back
Top Bottom