Recent content by Mbrazili

  1. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Bei kama bure,evvoli led full hd flat tv

    Mkuu bado upo
  2. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Msaada wa cv

    Mkuu what if mtu ni fresh from school...hiki kipengele cha experience daah
  3. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uwezo wa kufungua studio ya muziki; producer anatafuta kazi

    Producer ukipata kazi hebu fanya tuchekiane tugawane maisha...na mie rapper mzuri tu
  4. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Wale wadau wa FL studio(beat makers)!

    kazi nzuri....umejitahidi
  5. Mbrazili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu USHOGA

    Nimeshindwa kusoma...mwandiko mchafu mno
  6. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usifanye mchezo kumuua chelsea bhana....kuwa serious kidogo
  7. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Tunnel Guru...!!!

    Njunwa wa mavoco Pm yangu hujaiona kaka???..
  8. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Parma anakulisha ukuuu
  9. Mbrazili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    Wew mwendawazimu hata kusoma alama za nyakati hujui......Angaika tafuta chako Umario mario huo ndo chanzo cha kupigwa pumbu...
  10. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bundesliga ilisimama desemba hadi january 23...hapo kati kati sasa....kalishwa suti bayern.....raundi iliopita walicheza na Ajax kapigwa 3 nyumbani na ugenini...sio watu wazuri hao
  11. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weee....usithubutu....red bull salzburg ni matatizo, ni sheeedah.....Bayern munchen kanywa 3-0 pale..
  12. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahaaaa naona mr roburt katufuata
  13. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Blakburn uyo...mtakuja kulalamika hapa
  14. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dully wale kukudhulumu si rahisi...kuna sehemu tu unakosea ww...wasiliana nao kwa email jamaa ni wakarimu na wanajibu faster
  15. Mbrazili

    JamiiForums Tanzania IFM the best place to be...Wale mliochaguliwa IFM someni hapa.

    Wivu ni kidonda umeshiriki ugua poleee...mi nakula 85% boya ww
Back
Top Bottom