Recent content by Mboneza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Jamani kwa wauza maduka, kuna aliewahi kupewa dawa ya kuvuta wateja ikafanya kazi na akashuhudia matokeo chanya live bila chenga??? Hakyamungu mwenzenu hapa nashuhudia maajabu!!!!!!! N.B sitangazi biashara tunashare experience tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Kuhusu tetesi za simba najua tutadnganyana tu. Simba wamekuwa wasiri sana toka mara aondoke. Hata kwa makocha watu hadi wanaojiita wachambuzi walichemka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Kwa hasira nilizo nazo, hii nofap niliyoianza jana naenda miezi 6, then naunga miezi 12 then maishaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukila nyama ya mtu utaendelea kula tu

    Kama ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, maanake nyama ya mtu ni zaidi ya kitimoto (tamu sana) Eeh..au nazingua wakuu??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Nimeanza sasa hivi wakuu, pamoja na NO SEX,pia nimedhamiria kuancha baadhi ya tabia na kuongeza nidhamu katika baadhi ya maeneo. ★Hakuna kutongoza ★Kuamka ni saa 6:00 asubuhi ★kufanya mazoezi ★Meditation kila siku ★No sex
  6. M

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    🎶🎶Maliza mishe mishe unipitie/ Kabla hujaondoka unitwangie/ Kuna chocho tujichimbie/ Kuku wengi ujichinjie Twende tuka-blow up Tuka-blow up Night tuka-blow up Tuka-blow up🎶🎶🎶
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguuka vipi kuhusu madishi ya satellite?

    If Earth is flat, where will some one end if he/ she travels in a straight line?? What is at the edge of the earth??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguuka vipi kuhusu madishi ya satellite?

    Mkuu, kama dunia sio duara elezea inakuwaje mwezi mdogo (waxing and waning moon) unakuwa na curved shape???
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguuka vipi kuhusu madishi ya satellite?

    Sawa..let's assume uko sahihi. Naomba utuelezee mechanism ya jua kutembea na kuonekana tena baada ya masaa kadhaa wakati kuna sayari nyingine angani. Jua linatumia muda GANI kutembelea sayari zote? Kwa kutumia concept yako hiyo kuwa dunia ipo stationary, naomba uelezee mechanism ya kupatwa kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Angalau wewe umeanza kuja kuja
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC Msiogope Kuwaiga Amazulu FC

    Gadiel??? Ngoja kwanza...wee nanihii..Rose niletee hiyo miwani hapo mezani. Umesema Gadiel abaki??????????
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Na miaka yote wameishije??
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Utakuta vurumai zote hizo eti wanataka wamasai waondoke kisa kuna mwekezaji anataka aende pale. Si ni ubwege huo?.....eeh ubwege kabisa huo!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Askari amshushisa dereva matusi na kipigo, Ni vipi tunaweza kujitetea na uonevu bila hofu ya kuuliwa, kubambikiwa kesi za madawa, ugaidi, n.k

    Mbona nilishamdunda mmoja hadi akaomba watu wamsaidie kunidondosha chini Ili anipige nikiwa chini!!! Yule bwege nilimtandika fara yule!!! Nilimpiga mkasi wa mkono wa kulia kwenye koromeo (upanga ulio katikati ya dole gumba na kidole cha kwanza baada dole gumba), hapo hapo nikaunga na lower...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Mleta mada anaweza akawa mpuuzi. Nilishangaa sana nilipotoa ninachokijua akasema eti nadanganya. Maanake yeye anaamini kilichosahihi ni kile tu kinachitoka kwake. Huo si ni upuuzi?? (..eeh ni upuuzi huo)
Back
Top Bottom