Mkuu nimekumbuka kumbe ndiyo maana mmeenda Ikulu kujenga historia ambayo haijawahi kutokea. MMEKWENDA KUTAFUTA WATOTO IKULU MAHALI PATAKATIFU? Kweli ukisema ofisi zenye viyoyozi sikushangai. Haijawahi tokea raisi wa nchi akaenda kudu ikulu hadi kupatikana machild poleni
Ngamia Sasa hapo umekosea! bora useme ukweli kuwa sasa hamna chenu Nepi ohh samahani nimekosea Nape alizomewa nami nilikuwepo acha umbeya wa kuwadanganya watu. Nakushauri urudi uwaombe radhi jamaa zako wa Jf. Hapo apana rafiki yangu umedanganya.
Kaka wewe ni kijana bado, angalia unakokwenda lkn pima upepo unakoelekea kwa kufanya tathmini kule ulikotoka. Miaka mingi sana nilikuwa nikipenda sana chama cha mapinduzi, lkn kwa mtu yeyote anayeangalia chama cha mwaka 1995 tu na kilichopo sasa hawezi hata kuinua mdomo kutetea uozo uliomo...
Kwa hili naunga mkono, viongozi cdm toa kauri tuanze kazi. Hii ni dharau wameua wangapi tuendelee kufa sisi tu. Tuko tayari nasi kulipa kisasi. Mungu laza roho ya merehem mahali pema AMEN
Pengine kama kweli nchi hii inawatu makini nadhani kwa hili lilikuwa jepesi sana kuwashawishi wananchi kuingia barabarani na kukataa ubadhirifu huu. kwenda barabarani kuomba kurudishiwa kura zetu ndiyo inaweza kuwa majibu kama mawaziri hao hawajajiuzuru
Hii ya mh. MP kujiuzulu naiunga mkono. Sababu ni kuwa hata angeng'ang'ana bado mchakato wa kutokuwa na imani haumwachi. Zaidi ya hapo kama kikombe hiki kikimpita kunamadhara makubwa sana katka chama au kwa kiongozi wa juu zaidi katika hili kama kweli makamanda wetu wamedhamiria kutenda haya kwa...
Ndugu zangu ni juzi tulikutana hapa mkampamba sana mbunge wa Mbozi Mashariki Bwana Godfrey Weston Zambi kuwa ni mwanaharakati na msema kweli baada ya kuwahadaa kwa mbwembwe eti anadhamira ya kweli juu ya maslahi ya wananchi. Sasa niwaulize je anadhamira ya kweli kama ndugu yetu Deo? Je huyu...
NADHANI UNGEPUMZIKA KWANZA STRESS ZIPUNGUE ALAFU UKARIBIE HAPA JF. Kwa hakika hatuwezi kukuelewa hata kidogo, upinzani hatutoi rushwa kama unavyodai, ila ssm wakitoa tunakula lakini kura hatukupi. Wewe umetoa rushwa alafu tukupe kura ili ukafanye nini kwa wananchizaidi ya kwenda kurudisha pesa...
Zambi huyu ailiyekimbia jimbo lake nae amesema, nampongeza lakini akawaombe msamaha wananchi wake kuwa aliingia kwa zengwe sasa wamkubalie amalize muda wake. Lakini sijui ataanzia wapi manake wanambozi mashariki hawataki kumsikia zambi amebaki yeye na mkurugenzi wake huyo gamba tu.
Weweinaonesha Godfrey Zambi humufahamu vizuri. Huyu ni mbunge wa Mbozi Mashariki Mbeya ambaye hana mfuasi hata mmoja. Alishinda uchaguzi kwa mizengwe na tangu alipopewa jimbo hajawahi kukanyaga Mbozi kuzungumza na wannchi wake ila na mkurugenzi wake aliyempa jimbo baada ya kufanya dhuluma kwa...
jamani msishangilie mambo haya, kwa hakika yanafurahisha wanaharakati na bado ni pigo kwa chama tawala. Naomba msidhubutu kumpa ugombea bwana Milya akae kijiweni kwanza wakati tunamchunguza baadae tukijiridhisha nae tutampa nafasi mpiganaji wetu.
Mimi nawashauri wana jf na CDM kwa ujumla. Kama mwanachama nafurahia sana mafanikio haya ya kuvuna wanachama kutoka chama tawala, lkn bado siwaamini kwani wanaweza kutumwa kujitoa mhanga ili watuache hatuna kitu cha matumaini tena. Maoni yangu ni kuwa atazamwe kwanza kabla ya kupewa majukumu...
Inaogopesha sana kama wakombozi wa nchi hii tunaowategemea kutukomboa leo hii mnaanza kushambuliana kwa sababu za kijinga. UDINI. Mtu mwenye fikra hizo hafai kuingia cdm chama cha ukombozi. Hana mawazo ya kikamanda anaongozwa na misimamo ya kidini ambayo hata ukweli juu ya misimamo hiyo haujui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.