Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Shaimaa anawawakilisha.Na albino nao hawana mwakilishi.
Shaimaa anawawakilisha.Na albino nao hawana mwakilishi.
Ipingen hii TUME mpate kwenda kukalia tena sofa za ikulu na kunywa chai na mafisad huku mkipongezana!!!
Mimi sijarizika na wajumbe wa upande wa Tanganyika kati ya wajumbe 15; wanne tu ndio waislam kwanini? ina maana Tanganyika inawakilishwa na wakristo tu?
Mkuu baada ya ule mkutano wa wa pili wa Ikulu watu tulipiga kelele humu JF juu ya usiri wake. Alikuja Dr. Slaa akasema taarifa rasmi itatolewa baada ya vikao vilivyowatuma kuketi. Lakini Mkuu hadi leo hiyo taarifa haijatoka na Tume imeteuliwa. Mnasema mtatoa taarifa juu ya Tume. Je hiyo taarifa itaunganisha na ile taarifa ya mikutano ambayo Dr. alituahidi hapa kuwa ataitoa? Mkuu ahadi ni deni; ni kweli watanzania ni wasahaulifu lakini kwa hili nadhani wengi hawajasahau.Hata ndani ya moyo wako na akilini, unajua kuwa kamwe hiyo haijawahi kuwa nia ya CHADEMA. The prime goal hapa ni kupata katiba mpya na bora. Katika suala hili viongozi wa CHADEMA, wanachoona mbele yao na kuzingatia ni maslahi ya Watanzania. Peiod. Mkubwa what is juice, what is sofa, what is chai, what is kupongezana? Mbona vyote havina hata chembe ya kuweza kuwa juu ya suala nyeti linalohusika katika mazungumzo hayo.
So far kila mmoja anayeweza kuyaangalia masuala haya kwa macho matatu anajua mchango mkubwa wa CHADEMA hadi kufikia hapa, ikihusiha mazungumzo na watu wengi, ikiwemo hayo ya ikulu.
Ipingen hii TUME mpate kwenda kukalia tena sofa za ikulu na kunywa chai na mafisad huku mkipongezana!!!
Katika mjadala wa katiba mpya,hakuna suala lisilojadilika isipokuwa yale ya faragha tu,kama vile staili za kufanya mapenz,nk.si ujinga kujadili masuala ya udini,wala si kumkumbusha mwenzako kuwa amesahau kusema suala fulani,hilo linatakiwa liwe lako wewe uliyekumbuka,hivyo litolee maoni mwenyewe
Kwanini aisee? kweli nimesikitika sana JK kuchagua viongozi wakuu wa tume wakristo (chair na makamu) wake..hii katiba lazima itakuwa na elements za kikanisa ...bado sijarizika au unaona sawa
Kwanini katika watu 15 wa Tanganyika 4 tu ndio wawe waislam (very unfair representation of muslims in tanganyika)
Hata ndani ya moyo wako na akilini, unajua kuwa kamwe hiyo haijawahi kuwa nia ya CHADEMA. The prime goal hapa ni kupata katiba mpya na bora. Katika suala hili viongozi wa CHADEMA, wanachoona mbele yao na kuzingatia ni maslahi ya Watanzania. Peiod. Mkubwa what is juice, what is sofa, what is chai, what is kupongezana? Mbona vyote havina hata chembe ya kuweza kuwa juu ya suala nyeti linalohusika katika mazungumzo hayo.
So far kila mmoja anayeweza kuyaangalia masuala haya kwa macho matatu anajua mchango mkubwa wa CHADEMA hadi kufikia hapa, ikihusiha mazungumzo na watu wengi, ikiwemo hayo ya ikulu.
Mimi sijarizika na wajumbe wa upande wa Tanganyika kati ya wajumbe 15; wanne tu ndio waislam kwanini? ina maana Tanganyika inawakilishwa na wakristo tu?
kumbe nia ya CDM ni ipi?kutumia KAULI YA MASLAHI YA UMMA kwaajil ya maslahi yao wenyewe!!!hivi iko wapi ile taarifa ya kikao chenu cha pili pale ikulu?au ndio zile picha mlizopiga mkikumbatiana na mafisadi!!!!!
Udini utakutoa roho mjinga wewe! kwani wajumbe 15 kutoka Zanzibar kuna wakristo wangapi? Huna maana hata kidogo, watu kama ninyi hamfai hata kuutetea uislam wenyewe kwani huna hata chembe ya busara inayohitajika na uislam.Mimi sijarizika na wajumbe wa upande wa Tanganyika kati ya wajumbe 15; wanne tu ndio waislam kwanini? ina maana Tanganyika inawakilishwa na wakristo tu?
Mimi sijaridhika kwa sababu wajumbe wengi ni waislam tupu.
Na albino nao hawana mwakilishi.
Udini utakutoa roho mjinga wewe! kwani wajumbe 15 kutoka Zanzibar kuna wakristo wangapi? Huna maana hata kidogo, watu kama ninyi hamfai hata kuutetea uislam wenyewe kwani huna hata chembe ya busara inayohitajika na uislam.
Kwa kigezo gani umejua ni waislam ni wanne tu? Je wahindu wako wangapi? dini za asili nao wanawakilishwa na nani! hivi ninyi wenye akili makalioni ni lini mtaanza kufikiri kama binadamu?Yaani waislamu ni wa 4 tu kwa bara si haki sijaipenda hii tume