Endapo Mawaziri watagoma kujiudhuru

Endapo Mawaziri watagoma kujiudhuru

Kama Mawaziri watagoma kujiudhuru pamoja na kasfa zote za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka ,je wananchi tuishie kupiga kelele tu au kuna hatua twaweza chukua achilia mbali sahihi 70 za wabunge ambazo bado ni process , hivi yaaani yaani hakuna kabisa yaani tunachoweza kufanya yaaani ...

Nadhani next nguvu ya umma ndo suluhisho ya yote
 
anatafuta twiga huyu
 

Attachments

  • 23042012860-001.jpg
    23042012860-001.jpg
    26.4 KB · Views: 43
Ni kwamba ikitokea wamegoma kujizulu,dawa ni kuandamana nchi nzima,tuache kuongelea pembeni,tuonyeshe kwa vitendo.
Pengine kama kweli nchi hii inawatu makini nadhani kwa hili lilikuwa jepesi sana kuwashawishi wananchi kuingia barabarani na kukataa ubadhirifu huu. kwenda barabarani kuomba kurudishiwa kura zetu ndiyo inaweza kuwa majibu kama mawaziri hao hawajajiuzuru
 
Back
Top Bottom