Recent content by mbiza

  1. mbiza

    Japo 'kashinda' kuna siku Museveni atashindwa urais

    Bendera itapepea nusu mlingoti then the son will be president, then Uganda itachafuka sababu ya uprising ya vijana. Baada ya muda bendera itapepea nusu mlingoti na baada ya hapo Bobi Wine atakua raisi wa Uganda. Time will tell.
  2. mbiza

    TANZIA Diwani mteule wa CCM Kata ya Shiwinga, amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri

    HIyo siku shangwe lake litakuwa si la kitoto
  3. mbiza

    Kuweni makini… msitolewe nje ya reli!

    Indeed, time is very much ticking, watch your screen it will happen before your very eyes.
  4. mbiza

    Tupike biriani ya nyama ya ngo’mbe

    Chakula changu pendwa
  5. mbiza

    Haki za mteja wa chakula hotelini au mgahawani zikoje?

    Inawezekana sana tu, Tanzania ishawahi tokea kwenye kesi ya Belson Mbezibwa v. Coca Cola Kwanza, yale yalioainishwa kwenye kesi ya Donoghue v. Stevenson yaliadaptiwa Tanzania.
  6. mbiza

    Haki za mteja wa chakula hotelini au mgahawani zikoje?

    Kesi hiyo unapiga pesa ya the tort of negligence. Refer kesi ya Donoghue v. Stenenson [1932] AC 562.
  7. mbiza

    Kufanya mapenzi na mwanafunzi sio kosa kisheria, bali inahesabika kama kubaka

    Mtu ajichanganye afanye hivyo ndo atajua hajui 😂😂😂😂😂😂.
  8. mbiza

    Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

    Sikubaliani na wewe kuwa mtu akikutuma mtu mzima ufanye uhalifu ni huyo aliyefanya tu ndo atawajibika na sio aliyekutuma. Section 22 (1) ya the Penal Code (Kanuni ya Adhabu)[CAP 16 R.E 2022] inaprovide kwa kitu kinaitwa principal offenders. Ukisoma sasa 22 (1) (d) Yeyote aliyecounsel au...
  9. mbiza

    Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Hii ndo ilikuwa application for review aliyokuwa anaomba na mahakama imempiga chini.
  10. mbiza

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Msimu uliopita Karim Benzrma alipiga hat trick dhidi ya Barcelona pia tulivyoshinda 4-0.
Back
Top Bottom