Recent content by Mbiyoo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wadada taratibu jamani

    Tanga wasema ''Ukisusa wenzio wala''
  2. M

    JamiiForums Tanzania Daraja Jipya la Kigamboni, kamera 4 zishaibiwa

    KISIWA CHA AMANI
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya wameanza tena, this time ni Kigamboni Bridge

    Yana shida lakini yakubalika kimataifa kuliko sie, na sijatafiti ila nathubutu sema wana maendeleo zaidi yetu.Sie maneno mengi....vitendo hakuna.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Said Lugumi: Siyo kila jipu linatumbuliwa, acheni kufanya mambo kwa hasira

    Mbona kijana kafikishwa mahakamani kwa kutumia fb?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Said Lugumi: Siyo kila jipu linatumbuliwa, acheni kufanya mambo kwa hasira

    Atambana nani wakati wa kumbana wana share humo? mie nakubaliana na wanaosema twaigiza.Kwa ufupi hii ni nchi ya kisanii, na kwa hali hii hatuwezi kupiga hatua moja mbele coz we're not serious.Inasikitisha kwa ubinafsi ulotuvaa au rather tulouvaa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Izack Emil afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtukana Rais Magufuli Facebook

    Nawe uwe makini mkuu.....cybercrime isije kuhusu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

    Mie naomba ajibu....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Watakaolalamikia OC Ndogo!, Waache Kazi!. Ni Kauli ya Kujenga Nidhamu au Udikiteta Tuu?!.

    Mkuu waandika bila mawazo yako kupitia kichwani.Katika wizara za huduma kama Elimu wategemea kukusanya nini as hawafanyi biashara?OC [other charges]ni pesa ya kuendesha ofisi, baadhi ya watumishi wa umma wameshinikizwa na hali[ya kutoletewa OC] kutumia mishahara yao kununulia vitendea kazi ili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uwezo (Strength) na Mapungufu (Weakness) wa Rais Magufuli

    Sio rahisi kuyamudu hayo mapungufu coz ni tabia zake.Kumbuka tabia haina dawa,pamoja na yote lakin tukumbuke ashampongeza Paul Makonda.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango kupangiwa kazi nzuri zaidi ya ukuu wa mkoa

    Hiyo ndiyo CCM
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi hewa ndani ya Ikulu

    mission town.Achana naye kabisa mtoto wa mjini, ukimfuatilia akupeleka chaka..Hiyo namba nyingine.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akitanua na Nyumba na Magari ya Kifahari. Mbeya mtasubiri sana

    Acha umbea mtoto wa kitanzania na pia acheni kuendekeza umaskini.Nashauri tushangilie maendeleo ya wenzetu ili nasi tuwe na maendeleo.Kwa zama za sasa hapa nchini kila mwenye maendeleo aitwa fisadi, hii yakatisha tamaa watu kutafuta maendeleo.Utawala huu pia wajenga uadui kati ya wananchi na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Bado sana filamu yaendelea.....sijui yaishia njiani au mpaka 2020.....?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Kikwete Siyo Uimara wa Magufuli

    Mkuu I'm sorry hujitambui.....
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Maalim Seif kwa waandishi wa habari 10/04/2016

    Tatizo letu ubinafsi.Sijakusoma NJALI ulitakaje?
Back
Top Bottom