Watumishi hewa ndani ya Ikulu

Watumishi hewa ndani ya Ikulu

Hawa watu wana hela ukiongea nao vuzuri wanakupa hela bila tatizo.. Kauli ya mtu flan hiyo. Hii nchi ina mali nyingi tunabaki kuombaomba badala ya kutumia bongo. Raisi anafanya kazi nzuri.
 
Hii nchi lilikuwa ni shamba la bibi. unamkuta mfanyakazi mwandamizi wa umma anamiliki mali zisizo na idadi. kumbe ni hela za dhuluma. magu kaza kamba. nenda majeshini huko kuna miungu watu wanajilipa watakavyo hasa maafisa....
 
mission town.Achana naye kabisa mtoto wa mjini, ukimfuatilia akupeleka chaka..Hiyo namba nyingine.
Teeeeeeh teeeeeeeeh, chezea mkwere weye? Kamwachia ngosha ng'ondo anahangaika nalo
 
basically it not a big shame to JK but to his Lieutenants and JF die or live fans / followers who were not ready to hear but opposing any advices or criticism to JK regime!!!!!!!!!. Ghost workers in state house!!!!!!!!!!!??????????????
 
Halafu Jk Alikuwa hajui kwa nini Tanzania ni maskini.!
Mtu anakula chakula cha Emirate, analala kwenye 5 star dunia nzima halafu unashangaa hilo? Alichokuwa anajiuliza ni yupi katoa wimbo mzuri mwaka huu na timu gani imefunga zaidi hapo ndo ilikuwa nafasi yake. Napo ni pale kaachwa na pipa kwa siku hiyo basi.
 
Kumbe hata Umasikini wa Watanzania unachangiwa kiasi kikubwa na Viongozi wabovu wasiofuta msingi ya Sheria
 
Mtu anakula chakula cha Emirate, analala kwenye 5 star dunia nzima halafu unashangaa hilo? Alichokuwa anajiuliza ni yupi katoa wimbo mzuri mwaka huu na timu gani imefunga zaidi hapo ndo ilikuwa nafasi yake. Napo ni pale kaachwa na pipa kwa siku hiyo basi.

Usisahau na kuwakinaisha watafutaji mafuta na gesi kuwekeza kwa pesa zao na sasa una zaidi ya cubic feet trillion 60 za gesi.
 
Meaning? Please elaborate clearly tunatofautiana ujuvi.

Kikwete kwa juhudi zake za kidiplomasia na charisma aliyojaaliwa na Allah ameweza kuwakinaisha wawekezaji kuja kufanya exploration kwa fedha zao wenyewe, na matokeo yake leo hii tuna uhakika wa cubic feet trillion 60 za gesi na exploration inaendelea.
 
Kikwete kwa juhudi zake za kidiplomasia na charisma aliyojaaliwa na Allah ameweza kuwakinaisha wawekezaji kuja kafanya exploration kwa fedha zao wenyewe, na matokeo yake leo hii tuna uhakika wa cubic feet trillion 60 na exploration inaendelea.
Tusiweke sifa kwa mtu mmoja maana exploration ilianza kabla yake, hata during Nyerere walikuwa wameshagundua hayo mafuta. Nyerere hakupenda mambo yaende kwa kasi bila watu kuandaliwa. Wakati wa Mkapa alikazania kwanza mawasiliano. Barabara ziwe nzuri. Nilisikitika kuona mikataba yote aliyosaini Mkapa wakampa sifa Kikwete. Mkapa aliwatafuta wafadhili lakini Kikwete alikuwa endeleze kazi ya mtangulizi wake.

Be frank it does not take only ten years to trace, identy and explore natural resources like oil, minerals and likes. Haya mafuta na madini kama Iron Ore inayopatikana ukanda wa ziwa imejulikana muda mrefu, mbona hawajaweza kuyavuna? Mambo yanayoendana na technology hayana uhusihano na politics or sera sababu yanahitaji resources na preparations dada yangu.
 
safi sana mdau umemaliza kila kitu hapo
 
Back
Top Bottom