tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Bila kupepesa macho na kumung'unya maneno, Rais Magufuli ana Uwezo (Strength) na Mapungufu yafuatayo:-
Uwezo wake:-
1. Jasiri.
2. Mchapakazi.
3. Mfuatiliaji.
Mapungufu yake:-
1. Mkali/Ana Hasira sana.
2. Anakurupuka sana kufanya maamuzi/ Hana Subira.
3. Hapendi kukosorewa na kupingwa kile anachokiamini.
4. Hana ustahimilivu wa kisisa.
5. Hana stadi za Diplomasia ya Kimataifa.
6. Ni mgumu kumuamini na kumpongeza mtu hadharani.
Namna ya kuyamudu mapungufu yake.
1. Awe mkali kiasi.
2. Awe na Subira ya maamuzi.
3. Akubali kushauariwa na kupingwa anapokosea.
4. Ajifunze kuwaamini wasaidizi wake na kutoa motisha chanya.
5. Asome Vitabu vingi vya Uongozi, Siasa na Diplomasia kwa Ujumla.
Akiyafanya haya pamoja na Ule uwezo (Strength) zake, yaani Ujasiri, Uchapakazi na Ufuatiliaji, hakika atakuwa kiongozi bora.
Namkosoa kwa sababu namtakia mema. Simsifii kumjaza kichwa baadae aharibikiwe.