Recent content by mbish

  1. M

    Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

    Hapana sio sahihi. Harmonize ametoa hits zipi za kufanya WCB ionekane imefifia?. WCB wanaendelea na utaratibu wao vizuri tu. Harmonize ndio kafanya maamuzi ya hasira. Ameamua kujisimamia lakini ameenda kwa mtu ambaye sio tu alishindwa kujisimamia kwenye bishara zake ni mtu ambaye hana na hajui...
  2. M

    Miradi ya Ujenzi inayoendelea Chato inahitaji mjadala wa kitaifa

    Hizi ni dalili za wazi kuwa Mkoa Mpya upo mbioni kutangazwa na hapo patakuwa makao makuu ya mkoa huo, kutii kiu yake ya muda mrefu kutaka Chato kuwa makao makuu ya Mkoa.
  3. M

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    ndugu uwe mkweli, Tanzania na Watanzania tunamjua Deo kama mbunge mahiri kupata tokea. Kama humpendi basi usimzushie uongo. Buriani Deo
  4. M

    Michapio hatari

    uwanja wa njege airpocho
  5. M

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Jina husadifu Matendo. í-½íº¶í-½íº¶í-½íº¶í-½íº¶
  6. M

    Duka la El Shadai

    jf chuki za kidini zitaifikishaa pabaya
  7. M

    Hatari: Nimenusurika kifo

    pole sana chipa
  8. M

    Bernad Membe watanzania hatuna undugu na wapalestina

    wengi wanatazama suala la israel/palestina kwa mlengo wa dini zao. Historia yao inajieleza na jumuia ya kimataifa iko biased kiasi kwamba haiwezi kumaliza tatizo hili nadhan UN partion plan ya mwaka 1947 itazamwe tena na solution ipatikane. Kama dunia haikupenda NAZISM basi na ZIONISM sio ya...
  9. M

    Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

    Contradictions umezijenga wewe. In layman point of view how come dini yenye contradictions iwe the fastest growing on earth. Hukuelewa ulichokisoma ulipaswa kuuliza wanaojua. Upeo wako bado duni kwenye masuala ya dini.
  10. M

    Abasi Mtemvu acha utapeli wa kujifanya unawatafutia vijana ajira uarabuni

    mtoa mada na baadhi ya wachangiaji wenye mihemko ya Udini, chungeni ndimi zenu usiwe mwepesi wa kurusha tuhuma za udini kama hupendi udini, yawezekana una lengo zuri kutujulisha anachokifanya lakini kuchochea udini sio. Kila mtu akimtuhumu kiongozi kwa imani yake jamii hatutaelewana, tunaishi...
  11. M

    Dr. Dau akielezea Westadi na mradi wa Majumba ya kisasa Kigamboni

    una ushahidi gani, au ndio wale wale mnapandikiza chuki kupitia dini?, mtendaji akiwa fisad mnapiga kelele, muadilifu mnampigia kelele, tunataka watendaji wa design gani?. Ndio maana katiba inatushinda we are all corrupted minds
  12. M

    Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

    at least lissu kaonesha namna ya kufanya utafiti kabla ya kuongea, anatoa hoja badala mumjibu kwa hoja mnaongea majungu tu, we ndo unajua elimu yake?, kwa utendaji kazi wake anaweza pata kazi popote pale.
  13. M

    JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

    Yawezekana we ni Mpiga chabo maarufu hadi ukajua hilo.
  14. M

    JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

    wewe unafanya kazi gani?
  15. M

    JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

    Well said mkuu, kuna wanajukwaa wengi wenye upofu wa fikira na wenye kuendekeza fikira ovu na potofu sana. Vyema kuwa muungwana.
Back
Top Bottom