Recent content by mbinga jr

  1. mbinga jr

    Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Mkuu unaweza jifunzia upasuaji kwa mgonjwa maututi? You can't be serious Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mbinga jr

    Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Ukiona napotea na njia ww unaifahamu kwann usinishauli ili nikapotee kwa kibur changu?
  3. mbinga jr

    Namna nzuri ya kutengeneza six pack bila kunyanyua vyuma

    Nje na push up asubuh piga maji ya moto kias mapema sana then piga kata tumbo epuka kula vyakula vya kazi kubwa usisahau maji mengi piga asubuh na jion kata tumbo seriously two months
  4. mbinga jr

    Namna nzuri ya kutengeneza six pack bila kunyanyua vyuma

    Mkuu six zina bajeti yake sio kubwa ila sio ya mchezo so chuma ni njia rahisi sana kiongoI
  5. mbinga jr

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Haya ndo maisha ya mtz wa kawaida,kujua ya watu ndo kazi kuu
  6. mbinga jr

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Yes huo ni kwel nani zaidi ya Mungu, Kwa jina la Mungu kila baya halina nafasi na Kwa jina lake kila kitu kinawezekana mkuu
  7. mbinga jr

    Pale mshahara wa mtangazaji unapochelewa

    Ha ha ha ha ha hatari sana
  8. mbinga jr

    Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

    Safari mashetani yanataja viti wao
  9. mbinga jr

    Lukuvi: Nitamchukulia hatua mfanyabiashara aliyempa Makonda ardhi kwa ajili ya Viwanda

    Kuna episode kama 700 ni season ya kikorea utaumia kunywa juice ya ukwaju mkuu
  10. mbinga jr

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Miaka ya zaman walikua wanatoa
  11. mbinga jr

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Sio mchezo hii awamu inamengi
  12. mbinga jr

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Mmmmmmh yote mazito hayo,avae moyo wa kiume haswaaaa
  13. mbinga jr

    Aina ya viongozi wa nje wanaoitembelea Nchi yetu awamu hii inasononesha

    Sio kwel kaka,mkulu ametuaminisha sisi matajiri na hatupaswi kuwa omba omba au umesahau?
Back
Top Bottom