Recent content by Mbilima yimo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafanya uwekezaji wa Nguruwe

    Vitu vingine vibaya/dhambi unafanya ila kufuga tu nguruwe unaogopa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tafiti za wasomi zisaidie Taifa

    Miwa mingi inalimwa kwenye maji taka au madimbwi yanayozunguka makazi unategemea usikute hao wadudu???
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais ingilia kati suala la mikopo ya wanafunzi elimu ya juu

    Hata ningekuwa mimi Shaka nisingemsikiliza, aende waziri mwenye dhamana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

    Hata usafi tu uliofanywa Dar ni mojawapo ya faida hizo!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnajenga Hospitali za nini?

    Watakuelewa wachache sana wenye akili tu. Uliwahi kumsikia hata waziri wa afya akiongelea sukari ktk chakula na vinywaji vya viwandani, ona pipi ulizotafuna zilivyokutoboa meno. Siku hizi vijana wadogo pressure juu kisa mikorie!!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Uwezo wa kufikiri hizi figures ni mkubwa kuliko hao unaowategemea na waliotufikisha ktk hali mbaya ya maisha tuliyonayo sasa!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Samia kwamba masoko yaliyokosa Wapangaji yatafutiwe shughuli mbadala

    Shida ya serikali kuwa na tamaa ya kufanya vitu ambavyo vingefanywa na private entities!!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

    Kama siasa za CDM mbovu, kwa nini mlilazimisha wamama wao 19 kuingia bungeni?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumtaja Rais kila mara hata kwa vitu vya ovyo ni aibu, tujirekebishe

    Wamesoma PGO?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uonevu wa NEC ni bomu linalosubiri kulipuka; Wagombea 10 Upinzani Shinyanga waenguliwa kuwania Udiwani kwa kukosa sifa

    Yule mbunge wako wa CCm aliyeshindwa kusoma tarakimu umemsahau eeh?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia inatupotezea sana muda na nguvu

    Chama kwani kina kazi gani? Serikali tuseme inatosha bila chama! Vyama viliunganisha watu kudai Uhuru tu!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Freeman Mbowe ajiuzulu ili kulinda heshima yake

    Ni uchunguzi gani na ulifanywa na nani? Kuthibitisha muuaji wa huyo Chacha? Uanike hapa!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Abiria akoswakoswa kipigo ndani ya daladala baada ya kumwambia konda " Nishushe hapo kwa Hamza"

    Hata Hamza mbona alikuwa kada wa Chadema.
Back
Top Bottom