Recent content by Mbigilikavu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dream league soccer

  2. M

    JamiiForums Tanzania Dream league soccer

    Ila kuna zile challenge za miezi au week
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dream league soccer

    Mie nili dowbload la kuhack nikaona haina maana nika download upya la kawaida mpaka sasa niko hapa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dream league soccer

    Nawezaje kuweka logo ya simba maana napata shida
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hili Tangazo Ni Kweli Ama Matapeli

    Tatizo akituma atakuwa amewapa matapeli faragha yake yote hapo itakula kwake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Account ya Netflix

    Hii imechokonolewa hivyo download for your own risk
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Mbowe kugoma kuachia ngazi CHADEMA kinyume Cha katiba ya CHADEMA?

    Habari kwa wana jf wote natumaini mpo salama , Leo wana jamii forum wenzangu ningependa kuja na hoja yangu yenye kudai haki yetu kama watumiaji wa mtandao huu wa kijamii kama ambavyo watumiaji wengine wote duniani wa mitandao ya kijamii kama vile facebook ,twitter , whatsap na mingine mingi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Facebook account na 2-Factor Authentication

    Mi nilijua akaunti ya benki kumbe ni li facebook fungua nyingine bablai
  9. M

    JamiiForums Tanzania Account ya Netflix

    Naomba ni dm au pm na mm kama hutojali
  10. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba: People who are “real” never broadcast that they are real

    Nikikumbuka kipindi kile vile vi post vya mzee wa mtama vya mara ka picha ka kipanga mara anaelezea tamthilia ya sultan
  11. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba: People who are “real” never broadcast that they are real

    Habari kwa wana jf wote natumaini mpo salama , Leo wana jamii forum wenzangu ningependa kuja na hoja yangu yenye kudai haki yetu kama watumiaji wa mtandao huu wa kijamii kama ambavyo watumiaji wengine wote duniani wa mitandao ya kijamii kama vile facebook ,twitter , whatsap na mingine mingi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    U naomba unitag uki release ya 4 na zifuatazo , mimi mbigilikavu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Mimi naona zinaishia 12 , nisaidie link ya hiyo sehemu ya pili
  14. M

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Mi naona zimeishia 12 nafanyaje kuzipata ,copy linki uniwekee hapo niteleze nayo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Roman empire na Marekani ni nani haswa anayeitawala dunia?

    Imepigwa lock haifunguki
Back
Top Bottom