Dream league soccer

Dream league soccer

Hehehe!!! Cha msingi nenda google search Dream League Soccer unlimited money. Download apk yake OBB ina mb 59 hv kama sikosei. Unaiinstall, unavyoiinstall hutakiwi kuwa na ile OG, OG unaifuta kabisa.
Ikiwa installed ukifungua itahitaji kudownload additional file ruhusu hapo itakucost mb kama 254 hv.
Baada ya hapo enjoy DLS unlimited Money.
 
Da nimeingia hasara sana leo nilijaribu kuhack matokeo yake imeshindikana halafu mbaya zaidi gemu limejiristati sasa nipo academy division hahahhah very sad nisaidie njia bora hii yako sijui n ya kweli au magumashi nayo??
 
Tumia Profile.dat
 
Hatimae nimefakiwa kuhack. Lakini nimejifunza kitu kimoja cha msingi sana. Kuhack hakuna faida yoyote ile maana hakuna tena ushindani.... yaani unashinda weeeeeee.!!! Hahhhhahhh... du bora ucheze tu gemu halali
 
Hahahaha hahahah,, huo ndo ukweli

Chukua unlimited money. Ila unaanza mwanzo academy. Uzuri unakuwa na wachezaji unaowataka na unadevelop uwanja fasta. So easy kufika elite league.
 
Njia nyepes sana kuliko zote. Ingia youtube search kwa kuandika 'how to hack dream league 2019' utaona pale chagua video yeyote itakayo kufaa na ufate maelekezo pale wanaonyesha kila kitu.
Screenshot_20190915-112037_Dream%20League.jpeg
Screenshot_20190915-112125_Dream%20League.jpeg
 
Ni rahisi sana unachotakiwa kufanya ni kupakua file la profile.dat kupitia opera min browser baada ya kulipakua utalikuta kwenye internal storage kwenye folder la downloads. Baada ya hapo download app ya ZArchiver, kisha itumie app hiyo kucopy na kupesti file la profile.dat kwenye folder la dream league(utalikuta kwenye internal storage kwenye folder la androids) mpaka hapo utakuwa umemaliza mchezo mzima then enjoy your dream league with good players and a lot of coins(83M+ coins)
 
Wanamme tunacheza Pes2020 hilo wanacheza dada zenu
 
Kuna rafiki yangu nilimkuta na hii game akanipa nicheze.

Aisee ilinishinda mi ni mchezaji mkubwa sana wa PS2 game ya PES na FIFA ila game hii ilinishinda kwakua ilikua nikifika kwenye 18 nikitaka kuscore lazima mpira utoke nje. Halaf jamaa timu yake wote walikua miguu ya kulia. Nikawa napossess mpira vizuri ila kuscore tabu.

Nikaachana nayo.
 
Game la kike hlo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom