johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Ipo tofauti kati ya Waziri na Naibu waziri....... Usisahau hilo mkuu.Comrade hujui?
Baba yake mzee Prof Kighoma Alli Malima ndio alikuwa Waziri wa fedha!
Ipo tofauti kati ya Waziri na Naibu waziri....... Usisahau hilo mkuu.Comrade hujui?
Makamba Jr katweet hivyo kule tweeter.
Kuna follower wake mmoja akamuuliza "Lakini kupiga magoti wanaweza?"
Makamba Jr kamjibu "Sio magoti tu, hata kutambaa kwa tumbo kama nyoka."
View attachment 1208227
Hawa akina January na Ngeleja sijui imekuwaje hadi njaa imewagongea hodi.Njaa mbaya muzee...mwacheni atambae.
China huwa sana yao.Hawa vijana wala siyo wa kuwatetea, kwanini walikuwa na njama chafu dhidi ya Mkuu Wa Kaya!
These are not good people!
Hivi kwanza inasemaje kwa watu wenye sampuli kama hii?
January siasa za CCM zimeshamshinda aende tu kwa swaiba wake Zitto!
Ni kweli kabisa wasokutakia mema hawachekewi kusema wewe ulikuwa huna baraka za babaMsamaha wa dhambi ni lazima utangazwe popote pale ulimwenguni!
Makamba Jr katweet hivyo kule tweeter.
Kuna follower wake mmoja akamuuliza "Lakini kupiga magoti wanaweza?"
Makamba Jr kamjibu "Sio magoti tu, hata kutambaa kwa tumbo kama nyoka."
View attachment 1208227
Just another goddamned hypocrite!
Ndio siasa zilivyo makamba jr
Adam malima alikuwa waziri wa fedha siku hizi yupo mara
Siasa haina formula
Mkuu siasa za CCM zinataka moyo siyo ropo ropo!Kwahiyo mtu akiomba msamaha ndio tiketi ya hata kuongea chochote dunia hii asiongee?
Hata account yake tweeter asitumie tena?
Msamaha wa hivyo unapatikana kwa wachungaji tu,ila huku kwa mwenyekiti wao lazima utembezwe kuanzia juani pale geti la ikulu na vyombo vya habari vikuonyeshe ukiomba msamaha.Inaonekana hakupendezwa na kutangazwa kuwa kaomba msamaha, yeye alitaka msamaha wa kimyakimya tu