Recent content by mbeyasafi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mange amshambulia Lulu

    Mange akiwa kwenye siku zake huwa hana rafiki,kabla hajawa kwenye siku zake alimtetea sana Lulu. Hatuna haja ya kufuatilia sana kwakuwa tumeshamjua.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Dah wee mwenyewe utakuwa Na tatizo,unaonekana kuwa so selective kwani haiwezekani kila mtu kwako awe mbaya. Waone wataalum wa saikolojia watakuaaisia kabla ya kuingia kwenye maombi. Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Malisa Godlisten: Nape akae kimya, hana locus ya kuilaumu CCM wakati bado yupo humo

    Yeye mwenyewe ndo alizuia bunge live
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Duh,chadema wamejifia na mitusi yao kwa spika
  5. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Na apigwe tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natongozwa sana na wanawake

    Una nyota ya kenge
  7. M

    JamiiForums Tanzania TBC hawaishi kuchemka

    Sasa hujaelewa nini hapo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine wanasiasa wawe wakweli, Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa hakuwa na ziara rasmi Tanzania

    Akina msigwa na mtatiro hawawezi kuishi bila kudanganya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi TLS: Tundu Lissu Amshukia Mwakyembe, Aahidi Kufungua Kesi Mahakamani

    Huyu lazima avimbe mashavu kwanza.
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM msikubali marekebisho ya Katiba yenu, mtakwisha!!!

    Mabadiliko upinzani washashindwa,naona sahz ni hofu tu mwa ccm. Kaeni tu na waovu hukohuko,
  11. M

    JamiiForums Tanzania CCM msikubali marekebisho ya Katiba yenu, mtakwisha!!!

    Ovyo kweli, mabadiliko yanafanywa na ccm,mpinzani inakuwashia nini? Mnayahofu eeh,subirini moto wake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Mkuu huyo mpendwa wa Jeshi letu nchini alitua jana JNIA saa 09:15 alasiri akitokea Dubai na shirika la ndege la Emirates baada ya ziara za kikazi Italy na Uingereza kisha Marekani alikolazwa mkewe na kupitia Dubai,sasa picha yake ya nini? Tatizo wazushi wa taarifa mbaya za mkuu wetu wa Jeshi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Star TV mbona hamumwaliki Kingunge?

    Hata itv hawawaaliki akina polepole sijui kwa nini yaani!
Back
Top Bottom