Acheni siasa za kiki nyie nyumbu. Ni uonevu gani serikali ilifanya dhidi yake? Uonevu pekee ambao ulikuwa mbioni kufanyika, maraehemu JPM aliingilia kati ukaisha.
Nilimsikia bungeni siku moja akiilaumu serikali kudhibiti posho na safari kwamba hatua hiyo iliathiri sekta ndogo ya hoteli na yeye...
Anzeni kujifunza kutuma post bila kumtaja hayati. Ni ngumu ila mtazoea tu. Inavyoonesha legacy yake imepanga bure vichwani mwenu.
Viva JPM. Haters wako hawaachi kukutaja kwenye post zao huku mitandaoni.
Muanze kujifunza kumaliza siku bila kumtaja Magufuli. Mnamtaja mara nyingi kuliko wanavyomtaja wafuasi wake. Inaonesha mzimu wake unawatesa nyie nyumbu kuliko vile unavyowatesa wafuasi wake.
Wapo. Wanasoma VETA, sekondari za binafsi au vyuo. Pia wengine husoma kwenye tuition centres mtaani na kisha kufanya mitihani ya kitaifa kama private candidates. Hivyo vituo vya mitihani ni both private & gvt.
Ujinga tulioukataa ni kuruhusu warudi kuendelea na masomo sanjari na wenzao kwenye...
Inaonyesha Magufuli ataishi vichwani mwenu nyie haters wake kwa muda mrefu kuliko hata sisi wafuasi wake. Hiyo ndiyo sifa moja wapo ya legends. Kila uchao akili zenu zinapambana na legacy ya Magu. So lazima mje na vipost vya aina hiyo kupunguza sumu! Vippers!
Sishangai, haya mambo siyo size yenu. Niletee mradi wenu wa tune ya $2.3bn mnaotekeleza kwa fedha zenu wenyewe kisha tuendelee na debate. Otherwise just cool down baby!
Wafuasi wa hicho kitu kiitwacho "mfumo imara" ni wale watu wavivu na dhaifu kiutendaji. Wasioamini katika uongozi. Watu kaliba ya yule CAG mstaafu aliyezinduka juzi akasema angalau asilimia 60 ya watumishi wa umma hawana uwezo stahiki.
Yeye kwa mfano, alitolea mfano kampuni ya Microsoft...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.