Recent content by mberege rukiko

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

    Ni agisa yupi huyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Kama una wine yako hapo ndani fanya kusukutua mdomo usingiz kitu gani utajiletaga tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Haipo never ukifeli mara 3 wewe unaenda kuwa coplo,Sgt nk had uvae lisaaa lile umestaaafu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Ukienda course monduli ukifeli hyo nyota uisahau maisha yote utakula vvv hadi ufie kwenye lile saa mwisho
  5. M

    JamiiForums Tanzania Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Nyie nenden mkunguni bar mpya au kwa anah kule juuu mambo ya walimu yaacheni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Mkuu ivumwe umenikumbusha huyo madam wakat nipo olevel ila mwangosi hahaha mtata sana nakumbuka kesi yake etanatembea na mwanafunzi majibu yakenilicheka sana ila ivumwe pale olevel vilijaaa vichwa maji sana walimu wakqlilishaji
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Nahitaj hii elimu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu mafao ya NSSF

    Mkuu mimi nimeweka fingerprinting juzi je watanipa pesa yote au?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu NSSF

    Wakuu juzi nmeweka finger print pale NSSF naomba kujua kama mpunga watatoa wote je ndani ya muda gani kwa wenye uzoefu tafadhali mnijuze
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Mshahara wa fundi welding kwenye migodi ya makaa ya mawe

    G4s wale wahuni tu mshahara 450k
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

    Huyo mtoto mwenye cheo kikubwa jwtz ni ana cheo gani wakuu tumjue hata kwa picha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwenye PhD Zanzibar ni kiasi gani?

    Mkuuu znz mishahara ipo chini sana serikalini tofaut na tanganyika
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hali tete wakuu mwenye connection kazi za Ulinzi

    Na ku PM
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hali tete wakuu mwenye connection kazi za Ulinzi

    Mkuu mliachishwa kazi kwa barua?
Back
Top Bottom