Mshahara wa mwenye PhD Zanzibar ni kiasi gani?

upeo

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
356
207
Wakuu, naomba kujua kiwango cha mshahara wa phd znz kama lecturer.

Kuna mdogo wangu mmoja anakwenda kuhamia znz na anakwenda kusomesha chuo kule, wasiwasi wake ni hapo kwenye mshahara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom