Recent content by Mben

  1. Mben

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea: Waliouza Korosho bila ya kuwa na mashamba hawatolipwa

    Naomba kuliza wanahakiki mashamba kuanzia wenye tani ngapi ??
  2. Mben

    JamiiForums Tanzania Leseni mpya za udereva kutolewa mwezi huu

    TRA hadi ili mpaka mkuu alisemee ??
  3. Mben

    JamiiForums Tanzania Leseni mpya za udereva kutolewa mwezi huu

    Mwezi wa pili sasa nasubiri msg kutoka TRA naona haifiki. Izi kadi kupata ni changamoto sana. Mh Raisi pengine wanahitaji na hili uliseme wewe.
  4. Mben

    JamiiForums Tanzania NMB job several position wameanza kutuma email

    Unatach Cv tu.
  5. Mben

    JamiiForums Tanzania NMB job several position wameanza kutuma email

    Wanajuaje gpa na hapakua na option ya kuweka vyeti ?
  6. Mben

    JamiiForums Tanzania Utumishi siwaelewi

    Kwa maelezo ya apa mnataka kusema aliesoma Hr hawezi kuomba kazi za Public admn ?
  7. Mben

    JamiiForums Tanzania Kamwe USIJARIBU kusoma Chuo cha Kampala Dar es Salaam

    Tangu kilipoanzishwa tu kimekua na changamoto nyingi zikiwepo usajili na kutofata utaratibu wa Tanzania. Kwa waliomaliza 2013 rudi nyuma hawatoi transcript. Baadhi ya couruse zao hazitambuliki nacte au Tcu, ushahidi nnao. Kuna watu wana transcript za uganda ambazo zina masomo hawakuwahi...
  8. Mben

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu namna ninavyoweza kuhama chuo kutoka Mzumbe Mbeya kwenda UDSM course ya sheria

    Dah. Uzuri graduate wa Mzumbe huwa tunajikuta tu hatuwez kujibizana mambo yasiyo ya msingi. Kwa mtoa maada nenda ukasome kwa miaka 3 Tu. Fanya kinachokupeleka shule.
  9. Mben

    JamiiForums Tanzania Naomba mamlaka zinazohusika zibadilishe majina haya

    Nkwanambo
  10. Mben

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadilisha daraja la leseni

    Unahitajika kutumia daraja D kwa muda wa usiopungua miaka mitatu , baada ya hapo utaenda kusomea tena course fupi upate daraja E. Utadumu na daraja E tena kwa muda usiopungua miaka 3. Ndio uwe na sifa za kwenda Veta au NIT tu kupata mafunzo ya daraja C.
  11. Mben

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Nadhani burning issue leo ingekua mwendo kasi ila ndio ivyo tena
  12. Mben

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo cha Uongozi wa mahakama Lushoto

    At ata sio ngumu chief mwandalie tu hela nzuri ya matumizi na statitionary.
  13. Mben

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo cha Uongozi wa mahakama Lushoto

    Ila GPA mkuu usisau kumkumbusha ajitahid apate 3. na kuendelea
  14. Mben

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo cha Uongozi wa mahakama Lushoto

    Baada ya diploma kama anapenda ataweza kwenda bachelor of laws ,
  15. Mben

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa ajira za ualimu Vyuo Vikuu, TCU na GPA za SUA

    Si kweli. A ni 5 , B+ ni 4, B ni 3 na C ni 2. Sasa apo upate A 70 na mwezio apate ya 85 wote wanahesabu 5.
Back
Top Bottom