Utumishi siwaelewi

Utumishi siwaelewi

Barua unayoituma huwa ndo unaiwekea Sign
Nakumbuka ili nipa shida kidogo ili bidi nitype barua alafu Nika print kisha nikadondoka sign baada ya hapa ni scan barua kisha nikaifanyia attachment nahisi nilizunguka sana short cut ya electronic signature ilinishinda
 
Mimi na sign electronic signature na hakuna ambayo siitwi nashukuru hili.
 
Nakumbuka ili nipa shida kidogo ili bidi nitype barua alafu Nika print kisha nikadondoka sign baada ya hapa ni scan barua kisha nikaifanyia attachment nahisi nilizunguka sana short cut ya electronic signature ilinishinda
Tafuta nitro PDF itakusaidia sana sana kwenye sign.. Unaweka sign moja halaf utakua unaitumia hiyo hiyo na inaonekana vyema kabisa
 
Angalia kwa umakini tangazo la kazi na mahitaji yake mfano uliyesoma Telecoms huwezi kuitwa kwenye Network administrator upande wa Computer lakini unaweza kuitwa kwenye Network administrator upande wa switching.Wakaguzi wa barua kwa ajili ya maombi ya kazi wanaangalia kozi iliyotangazwa na muhitaji anayetakiwa mfano Network Administrator na anahitajika aliyesoma Computer Eng. hapo wamemaliza hata aliyesoma computer science hawaguzi
na vile vile kama hiyo nafasi wamesema anatakiwa Eletronics and Telecommunication inakuwa hivyohivyo
CV yako itatumika mara nyingi wakati wa Interview ndiy wataona na hizo shortcource zako kama hiyo CISCO
 
Mkuu nahisi utakuwa na tatizo kama langu. Vyeti vyako viko verified? Embu nanda kacheki kwanza kabla hujanijibu
 
Nakumbuka ili nipa shida kidogo ili bidi nitype barua alafu Nika print kisha nikadondoka sign baada ya hapa ni scan barua kisha nikaifanyia attachment nahisi nilizunguka sana short cut ya electronic signature ilinishinda
Mwenyewe kipengele cha barua huwa nafanya kukoroga kwa mkono alafu naatach kinachofuata ni kuitwa interview haya ya kutype nayaona Leo......
 
Angalia kwa umakini tangazo la kazi na mahitaji yake mfano uliyesoma Telecoms huwezi kuitwa kwenye Network administrator upande wa Computer lakini unaweza kuitwa kwenye Network administrator upande wa switching.Wakaguzi wa barua kwa ajili ya maombi ya kazi wanaangalia kozi iliyotangazwa na muhitaji anayetakiwa mfano Network Administrator na anahitajika aliyesoma Computer Eng. hapo wamemaliza hata aliyesoma computer science hawaguzi
na vile vile kama hiyo nafasi wamesema anatakiwa Eletronics and Telecommunication inakuwa hivyohivyo
CV yako itatumika mara nyingi wakati wa Interview ndiy wataona na hizo shortcource zako kama hiyo CISCO
Jamaa yupo sahihi sababu upande wa Job description za Utumishi wanamuhitaji mtu anayejua koconfigure na kuinstall LAN and WAN na WAN hamna course inayoingia deep kama Telecom ,sababu ndani ya WAN kuna MPLS,Frame Relay,Metro Ethernet ,VPN nk ambazo telcom wanazichimbua sana.Telecom ana uwezo wa kufanya Engineering na Administration ya network yoyote ile,jamaa yupo sawa na ana haki ya kulalamika .

Computer engineering wanagusa network lakini si sana,ila wao wanaingia deep sana huko kwenye Database(Distributed Database),Programming,Microprocessor nk ila Networking wanapiga lakini si deep kama Telcom.Labda utumishi kama wana angle zao,mimi nawafaham Network Admin wengi ambao ni Telcom,cha msingi aende tena Utumishi ajaribu kuongea nao vizuri kwani nao ni binadam na Utumishi wapo fair sana sababu wamewasaidia wengi nao naamini watamsaidia.
 
Kwa maelezo ya apa mnataka kusema aliesoma Hr hawezi kuomba kazi za Public admn ?
 
Unaendelea kumuongezea umasikini tu kwa kuendelea kulipa fees+magharama mengine.

Elimu kwa sasa ni shithole tu kwny kutoboa maisha.
Kwa mbali naunga mkono hoja.
Sina maana watu wasisome lakin kama ushasoma angalau level ya degree basi ni vyema kwanza ukahangaika kuweka maisha sawa .Utengeneze uwezo wa kuwa na kipato chako mwe yewe kisha kama utapenda kuendelea na masoma basi sawa.
Lakin huna kaz wala biashara halafu unataka ukasome, bora hiyo hela iingize kazin baba..
VIEWER SECRETION IS ADVISED.
Nawasilisha
 
Lakini sasa CV tunaituma ya nini,alafu Telcom networking anacover karibia layer zote 7,kama umesoma Telcom au una mtu unayemjua wa telcom utanielewa,hamna course inayoingia deep katika Networking kama Telcom.Sasa nashangaa nakosaje nafasi ya Network Engineering na Network Administrator.
Unajifanya mjuaji sana,ndio maana hata kwenye usaili sekretarieti ya ajira huitwi,punguza kwanza umach kno ndio utaitwa kwenye usaili.
 
Unajifanya mjuaji sana,ndio maana hata kwenye usaili sekretarieti ya ajira huitwi,punguza kwanza umach kno ndio utaitwa kwenye usaili.
Sio mjuaji kama upo katika field hii utamwelewa yupo sahihi 100% na sifa ya Engineer lazima ujijue upo vizuri eneo gani,huyo kijana anajitambua anataka nini ,tofauti na vijana wengine wa Engineering ukiwaambia unajua nini hawana cha kukujibu.
 
Hili nalo neno
Jaribu pia kuangalia "soft skills". Vitabu vya Dale Carnegie vinaweza kuhusika.

Pengine uko "overqualified", if you see what I mean.

Kwenye application yako ijayo unaonaje ukaacha kutaja sifa ulizonazo ambazo haziko kwenye tangazo.

All the best.
 
Usikate tamaa mkuu,endelea kupambana ipo siku mambo yatakaa vizuri tuu kwa uwezo wa mwenyezimungu.
 
Back
Top Bottom